Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ile Rabona sio poa
Ingawa nilijua tutashinda mechi, nilifurahi kuona wenzake Lamela wanavyomkimbilia wakishika vichwa kama hawaamini lile goli lilivyofungwa. Yaani ule mshangao na furaha yao kibinadamu nilifurahi kuona nikajisemea 'huu ndo mpira + burudani, bonge la goli' huku pia nikijisemea kuwa hawa Spurs wanacheka saivi ila punde tu watalia.
 
Hawa liva wanatusumbua kwakua finishing yetu siyo kali kwa 100% pia hua tunatatizwa na timu yenye speed katika kushambulia.

Ila kitakachomatter ni namna tunaingia na tutakavyoperform.
Shida yetu siyo mechi ya Liverpool, hawa washakuwa kama shirika la misaada kutoa toa mapointi kwa kila anayehitaji naona nasisis watatuhurumia na kutupa point 3 muhimu kwa mioyo yao mema. Tatizo ni hatujaweza kushinda mechi kadhaa mfululizo, hata kwa timu 'ndogo'. Kwa sasa tunapaswa kushinda mechi ZOTE tulizobakiza ila kwa nilivyotuzoea msimu huu tukishinda nusu ya mechi zilizobaki ni bahati. Hapa tujirekebishe.
 
Last defeat ilikua dhidi ya City.

Tuna rekodi ya kuridhisha kiasi fulani.

Jana Westham imebidi ajifunge ili united atoke na points tatu that means hata sisi inabidi tuingie tukiwa makini. Biashara imalizwe asubuhi, tuongeze intensity ya kushambulia.
 
Good news ni kwamba nahisi tutaanza kumuona Emile akiscore, ile energy na confidence ya shuti la jana inahitajika angalau 5 shots kwa kila mechi, akimaster hilo itakua kuscore ni kokote na yeyote.
 
Last defeat ilikua dhidi ya City.

Tuna rekodi ya kuridhisha kiasi fulani.

Jana Westham imebidi ajifunge ili united atoke na points tatu that means hata sisi inabidi tuingie tukiwa makini. Biashara imalizwe asubuhi, tuongeze intensity ya kushambulia.
Yes, ila kabla ya hapo nadhani tulikuwa tumeshinda mechi moja 1/4 kama sikosei, na moja tulidraw mbili tulifungwa. Hapo points 4/12
. Sikumbuki mara ya mwisho kushinda mechi 5 mfululizo. Hapa ndo maana nasema kushinda mechi imekuwa shida. Tutashinda moja, tutadraw inayoufuata...cycle continues. Mwishowe tunajiona tuko nafasi ya 10 ila tungekuwa 5 or 4.
 
Musisahau kua kwenye msimamo wa ligi muko nafasi ya 10.

Mwakani hata Futuhi mutaisikia kwenye bomba.
 
Yes, ila kabla ya hapo nadhani tulikuwa tumeshinda mechi moja 1/4 kama sikosei, na moja tulidraw mbili tulifungwa. Hapo points 4/12
. Sikumbuki mara ya mwisho kushinda mechi 5 mfululizo. Hapa ndo maana nasema kushinda mechi imekuwa shida. Tutashinda moja, tutadraw inayoufuata...cycle continues. Mwishowe tunajiona tuko nafasi ya 10 ila tungekuwa 5 or 4.
Gemu 10 ni pointi 30. Ngoja tuone tutavuna ngapi.

Personally kwa namna tunacheza siamini sana kama tutavuna points zote 30, ila tukibadilika, tukawaweka Pepe na Cedric upande mmoja, Tierney na Auba/ Emile upande mmoja tutakua na intensity kubwa sana katika kushambulia.

Hapo sasa ni juu ya kocha kung'amua.
 
Ingawa nilijua tutashinda mechi, nilifurahi kuona wenzake Lamela wanavyomkimbilia wakishika vichwa kama hawaamini lile goli lilivyofungwa. Yaani ule mshangao na furaha yao kibinadamu nilifurahi kuona nikajisemea 'huu ndo mpira + burudani, bonge la goli' huku pia nikijisemea kuwa hawa Spurs wanacheka saivi ila punde tu watalia.
Ile si mara yake ya kwanza kufunga kwa rabona, km sikosei msimu uliopita au wa nyuma yake alifunga kwa rabona kwenye game ya europ
 
Ile si mara yake ya kwanza kufunga kwa rabona, km sikosei msimu uliopita au wa nyuma yake alifunga kwa rabona kwenye game ya europ
Nilifikiri ni mara ya kwanza. Lilikuwa goli zuri kwa kweli na reaction ilikuwa enjoyable. Ningekuwa na wasiwasi wa ushindi ningemind ila niliweza kuenjoy maana nilijua tutashinda tu. Yale yale ya Leicester City kutangulia na kufungwa.
 
Timu zilizopo Europa ambazo Alhamis zitaingia uwanjani kutafuta wanaofuzu kwenda robo fainali.

Timu yenye kidoti cheusi ni timu iliyoshinda mechi iliyopita.

IMG_20210315_145049.jpg
 
Hawa liva wanatusumbua kwakua finishing yetu siyo kali kwa 100% pia hua tunatatizwa na timu yenye speed katika kushambulia.

Ila kitakachomatter ni namna tunaingia na tutakavyoperform.
ndio kinachonipa wasiwasi, ila siku hizi wamepunguza kasi ,
 
nyie viazi jana ndio ushindi wenu wa mwisho kwenye ligi vipigo 5 na draw 4 zinakuja
 
Naona kila weekend mkicheza ila sijajua mnagombania nn
 
The Mail say Aubameyang is facing a fine following his breach of club rules, as this is not the first time he has been late. #Arsenal

"Sijawai kupoteza Mechi dhidi ya Tottenham Hotspurs kwenye maisha yangu , ninafurahi kusema hivyo "

🗣️
Thierry Henry
 
Baada ya game ya Europa kati ya Olympiacos na Arsenal Olympiacos ameenda kushinda 3 kwa 1 dhidi ya AE Larisa na Arsenal imeenda kushinda game ya watani wa jadi ambayo Arsenal ilibidi ifanye comeback.

Olympiacos wameshindwa kutunza clean sheet dhidi ya timu inayoshika mkia kwenye ligi, that means hawana beki nzuri ila wana timu inayoweza kufosi goli. Na hicho ndicho kitatusumbua on paper sisi tayari tumefuzu hivyo Olympiacos hawatakuja kupaki basi na hawatakuja kwa tahadhari watakuja kuwasha moto.

Kama Arsenal itaweka mid yenye Ceballos na Xhaka inaweza kua mtihani, mid kisiki Elneny na Partey naona ni bonge la option. Tho Xhaka amekua dirty worker mzuri kiasi kwamba unashindwa jua unamuachaje nje. Hatutakiwi kucheza kinyonge.

Na ninaamini vilevile kwamba Pepe akicheza upande mmoja na Cedric intensity inakua kubwa. Pia Tierney akicheza upande mmoja na Emile/ Pepe/ Martinell bado tutakua na intensity inayotakiwa.

Sioni Olympiacos anatokea wapi. Sisi tuna kazi ya kudeal na mafanikio katika ligi mechi 10 zilizobaki zitaonyesha character halisi ya timu.
 
Back
Top Bottom