zege la nyasi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 938
- 1,256
Haya makoso anayofanya leno sijawahi kumwelewa jamaa...yaani unampa mtu basi ilihali yupo mazingira magumu....
Jamaa kuna muda anazingua sana
Jamaa kuna muda anazingua sana
Haya makoso anayofanya leno sijawahi kumwelewa jamaa...yaani unampa mtu basi ilihali yupo mazingira magumu....
Jamaa kuna muda anazingua sana
Big up, agiza supu na chapati nalipa kwa tigo pesa.On paper mtu akiangalia stats ataona tulikua vizuri kama timu na tulikua na defense nzuri. Olympiakos walipata big chances mbili na zote wakakosa.
Ya kwanza itakua ya Luiz kutoa pasi kama ya Xhaka mechi iliyopita. So mfuatilia mpira baada ya mechi kuchezwa angeona Arsenal tulikua vizuri sana.
Ila hebu ona.
Ceballos anatoa boko linalopelekea goli. Game na Benfica alitoa boko pia na ujinga na ule ule wa back pass.
Na hata Luiz ametoa boko kwa ujinga wa back pass.
Odegaard anapata mpira anampa Bellerin huku akifanya run kumaanisha atanguliziwe mbele Bellerin anarudisha mpira nyuma.
Hii komedi imefanywa na timu nzima.
Goli la Odegaard lilitakiwa kuwafungua macho hawa wengine kwamba kuscore kuwe hata kwa long range shot ndiyo maana hua nasema ni bora Pepe na Laca wakawepo katika mechi. Hua hawasiti kushuti, baada ya goli la Odegaard tukaanza tena ujinga ule ule, sidway passes, back passes na krosi.
Partey ni CDM wa namna gani? Quality mojawapo ya CDM ni uwezo wa long range shots, uko nje ya box umegewa pasi unashuti unapaisha tena siyo kidogo. Hata mechi iliyopita ilikua hivi hivi eneo lile lile na kapaisha vile vile. Elneny akiwa nyuma ya eneo ambalo yeye kapaisha akapiga shuti likawa goli.
Nilikua nasema Elneny anastahili kuanza over these two na bado anadhihirisha hilo.
Kwa takwimu kati ya Emile na Odegaard kabla ya mechi ya jana, Emile amezidiwa vitu vingi na Odegaard ikiwemo key passes na chances creation, lakini Emile amemzidi Odegaard kwa output yake uwanjani. Anamzidi hiyo output kutokana na Emile kua na uwezo wa kufanya runs, kukaba, kupass na kukimbia bila kuchoka.
Ndiyo maana akiwepo unaona timu inacheza kokote na hata kupita katikati inawezekana.
Huu ushindi ni wa kimiyeyusho.
Anyway, Willian ana assisst tena. Gabriel Magalhaes ana assisst pia
Huyo George atakua mpuuzi kama kile anakiita kiwangoGoodmorning kwa Hisani kubwa ya WASHIKA MITUTU WA JIJI LA KITAJIRI LA LONDON ....kuna baadhi ya mashabiki wa klabu fulani hawaruhusiwi ku comment wala ku like watulie hivyo hivyo...hawajashinda mechi ya ULAYA
✍Kuna muda kipindi cha pili Olympiacos walitaka kuleta jeuri lakini ubora wa mchezaji mmoja mmoja wa Arsenal uliwezesha kuikamata tena mechi na kuwatungua Wagiriki katika ardhi yao .
✍Ukiacha na kufunga goli kwa Martin Odegaard, jana aliwavuruga sana wagiriki na ule mguu wake wa kushoto. Uwezo wake wa kutafuta na kuipata space ya kupokea mpira na kugeukia safu ya ulinzi ya Olympiacos ilikuwa hatari kila wakati alipokuwa uwanjani na faida kubwa aliyoipata ni nyuma yake kulikuwa na viungo ambao waliweza kumpasia mpira haraka sana ( Xhaka na Partey , kabla ya mghana huyo kutoka hata Ceballos alifanya hiyo kazi )
✍Kuna kazi kubwa sana ya kuchagua mchezaji bora wa mwaka wa Arsenal uwepo wa Tierney, Saka , Leno na wengine . Yule beki wa Kiscotland anajua anachofanya uwanjani ...kupanda na kushuka, krosi , kujituma ...dakika kadhaa alipata shida upande wake lakini kwa asilimia kubwa alitawala sana upande wake
✍Kumbe wachezaji kama mvinyo tu . Mathieu Valbuena bado yupo yupo sana. Ubongo wake uwezo wake wa kufikiria haraka sana akiwa na mpira ndio unamrahisishia kazi uwanjani. Aliwapa kitu cha kufikiria Xhaka na Partey kila akipokea mpira nyuma yao
NOTE :
1: Kiwango kile cha jana inabidi wachezaji wa Gunners wakikopi na ku paste kwenye mechi za EPL
From George
Kwan olympiacos wlikuwa na maajabu gani ukiacha errors za arsenal zile 3 ambayo wameitu mia 1?Huyo George atakua mpuuzi kama kile anakiita kiwango
Mzee umeangalia mechi?Kwan olympiacos wlikuwa na maajabu gani ukiacha errors za arsenal zile 3 ambayo wameitu mia 1?
timu imecheza vzr tu, labda yale makosa ambayo Arteta kasema lzm yakome, hao olympiacos, nilikuwa sion hata wakipata ON TARGET,
Ambangile yupo sahihi timu ilicheza vzr ,
takwimu tu hazidanganyi...
Mikel said
I have been saying that fro a while, and I can probably see more things because internally I know the process that has happened and how much has happened since we were here a year ago. I think the difference is really big and we are really pleased with the result and the goals that we scored, and the way that we played in big moments in the game. But as well we have to be very clear and honest with ourselves that we gave three goals to the opponent and they took one, and at that level they are going to punish you. So to go to the next level, we haver to stop doing that and be more ruthless - and when you are that dominant and playing that well, just kill the game.
nimeangalia vzr, binafs bora nikose chakula sio kuchek arsenal
On paper mtu akiangalia stats ataona tulikua vizuri kama timu na tulikua na defense nzuri. Olympiakos walipata big chances mbili na zote wakakosa.
Ya kwanza itakua ya Luiz kutoa pasi kama ya Xhaka mechi iliyopita. So mfuatilia mpira baada ya mechi kuchezwa angeona Arsenal tulikua vizuri sana.
Ila hebu ona.
Ceballos anatoa boko linalopelekea goli. Game na Benfica alitoa boko pia na ujinga na ule ule wa back pass.
Na hata Luiz ametoa boko kwa ujinga wa back pass.
Odegaard anapata mpira anampa Bellerin huku akifanya run kumaanisha atanguliziwe mbele Bellerin anarudisha mpira nyuma.
Hii komedi imefanywa na timu nzima.
Goli la Odegaard lilitakiwa kuwafungua macho hawa wengine kwamba kuscore kuwe hata kwa long range shot ndiyo maana hua nasema ni bora Pepe na Laca wakawepo katika mechi. Hua hawasiti kushuti, baada ya goli la Odegaard tukaanza tena ujinga ule ule, sidway passes, back passes na krosi.
Partey ni CDM wa namna gani? Quality mojawapo ya CDM ni uwezo wa long range shots, uko nje ya box umegewa pasi unashuti unapaisha tena siyo kidogo. Hata mechi iliyopita ilikua hivi hivi eneo lile lile na kapaisha vile vile. Elneny akiwa nyuma ya eneo ambalo yeye kapaisha akapiga shuti likawa goli.
Nilikua nasema Elneny anastahili kuanza over these two na bado anadhihirisha hilo.
Kwa takwimu kati ya Emile na Odegaard kabla ya mechi ya jana, Emile amezidiwa vitu vingi na Odegaard ikiwemo key passes na chances creation, lakini Emile amemzidi Odegaard kwa output yake uwanjani. Anamzidi hiyo output kutokana na Emile kua na uwezo wa kufanya runs, kukaba, kupass na kukimbia bila kuchoka.
Ndiyo maana akiwepo unaona timu inacheza kokote na hata kupita katikati inawezekana.
Huu ushindi ni wa kimiyeyusho.
Anyway, Willian ana assisst tena. Gabriel Magalhaes ana assisst pia.
Goodmorning kwa Hisani kubwa ya WASHIKA MITUTU WA JIJI LA KITAJIRI LA LONDON ....kuna baadhi ya mashabiki wa klabu fulani hawaruhusiwi ku comment wala ku like watulie hivyo hivyo...hawajashinda mechi ya ULAYA
Kuna muda kipindi cha pili Olympiacos walitaka kuleta jeuri lakini ubora wa mchezaji mmoja mmoja wa Arsenal uliwezesha kuikamata tena mechi na kuwatungua Wagiriki katika ardhi yao .
Ukiacha na kufunga goli kwa Martin Odegaard, jana aliwavuruga sana wagiriki na ule mguu wake wa kushoto. Uwezo wake wa kutafuta na kuipata space ya kupokea mpira na kugeukia safu ya ulinzi ya Olympiacos ilikuwa hatari kila wakati alipokuwa uwanjani na faida kubwa aliyoipata ni nyuma yake kulikuwa na viungo ambao waliweza kumpasia mpira haraka sana ( Xhaka na Partey , kabla ya mghana huyo kutoka hata Ceballos alifanya hiyo kazi )
Kuna kazi kubwa sana ya kuchagua mchezaji bora wa mwaka wa Arsenal uwepo wa Tierney, Saka , Leno na wengine . Yule beki wa Kiscotland anajua anachofanya uwanjani ...kupanda na kushuka, krosi , kujituma ...dakika kadhaa alipata shida upande wake lakini kwa asilimia kubwa alitawala sana upande wake
Kumbe wachezaji kama mvinyo tu . Mathieu Valbuena bado yupo yupo sana. Ubongo wake uwezo wake wa kufikiria haraka sana akiwa na mpira ndio unamrahisishia kazi uwanjani. Aliwapa kitu cha kufikiria Xhaka na Partey kila akipokea mpira nyuma yao
NOTE :
1: Kiwango kile cha jana inabidi wachezaji wa Gunners wakikopi na ku paste kwenye mechi za EPL
From George
sokratis alikaza jana, SEMA JANA saka, auba hawakuwa vzr kabisa...Sokratis aliwasaidia sana jana