Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

First leg spurs alitufunga 2 bila.

Alcheza kama olympiacos walivyocheza jana na sisi tulicheza kama jana tulivyocheza.

Back passes, sideway passes na krosi. Eti paste hicho kiwango EPL, humu kwenye uzi watu wanakimbia kwa hicho George amekibatiza jina la kiwango.

Mimi sitarajii Arsenal ifungwe na Spurs ili ninachoandika kiwe sahihi, next games baada ya spurs ni Olympiacos, Westham na Liva. Ili nilichoandika kiwe sahihi majibu yatapatikana hapo katika hizo games nne.

Hua hamuelewi hadi mshuhudie.
ok,but hicho kipind spursy anatufunga ,tulikuwa na tatizo la ku create chances , hata smith rowe alikuwa bado hajaaminiwa,

unaposema tulivyocheza jana ni sawa na tulivyocheza na spursy, nashindwa kuelewa.....
EvlORFnVoAEhETQ.png
 
odegard pekee ali create 4 chances

Odegaard vs Olympiacos

90% Pass accuracy
1/1 Accurate long passes
4 Chances created
1/4 Shots on target
2/2 Dribbles completed
8/9 Duels won
Nimependezwa na mjadala wenu... Sema kinacho nivutia zaidi nyote ni Arsenal Fans

Let's Keep Moving...
#COYG
 
odegard pekee ali create 4 chances

Odegaard vs Olympiacos

90% Pass accuracy
1/1 Accurate long passes
4 Chances created
1/4 Shots on target
2/2 Dribbles completed
8/9 Duels won
Hizi chances alizocreate Odegaard uliziona kweli bro au umechukua stats tu?
 
Hizi chances alizocreate Odegaard uliziona kweli bro au umechukua stats tu?
kwa hiyo stats si za kweli? nipe zilizo sahihi,

Yawezekana labda tafsiri ya KU create chance, big chance, tunapishznz hzpo..

Kocha anakili Chances tulitengeneza nyingi....
"We started the game really well, very dominant, creating a lot of chances."


toka awali unachanganya BIG CHANCES CREATED na CHANCES CREATED.,

Umedai olympiacos waalikuwa vzr sababu walicreate big chances 2, ni kweli lkn nikakuambia hizo big chances ni maboko ya arsenal wenyewe, hao olympiacos wenyewe walikuwa hawana hata uwezo tu wa kutengeneza chance wapate ON TARGET... takwimu zinasema walipata ON target 2 tu, 1 ni boko la ceba na nyingine boko pia

Sasa unaona hao jamaa hawakuwa na chochote, ni kama last season, walipotufunga kwa bahati...

Jana Arsenal walipiga pass 599 ACCURATE PASSES 534 , Own half 209, Opposition half 325(Forward passes), Pass success 89%, Touches759 , Long balls36 zilizofanikiwa ni 22
Capture.PNG
 
George Graham:

"Nimekuwa nikisikia yeye [Arteta] anafanya vizuri sana kwenye uwanja wa mazoezi; wachezaji wanamkubali sana. Nadhani ni suala la kuondoa makosa makubwa wakati wa mechi. Hivi karibuni, nimewaona wakicheza vzr "
 
Goodmorning kwa Hisani kubwa ya WASHIKA MITUTU WA JIJI LA KITAJIRI LA LONDON ....kuna baadhi ya mashabiki wa klabu fulani hawaruhusiwi ku comment wala ku like watulie hivyo hivyo...hawajashinda mechi ya ULAYA

Kuna muda kipindi cha pili Olympiacos walitaka kuleta jeuri lakini ubora wa mchezaji mmoja mmoja wa Arsenal uliwezesha kuikamata tena mechi na kuwatungua Wagiriki katika ardhi yao .

Ukiacha na kufunga goli kwa Martin Odegaard, jana aliwavuruga sana wagiriki na ule mguu wake wa kushoto. Uwezo wake wa kutafuta na kuipata space ya kupokea mpira na kugeukia safu ya ulinzi ya Olympiacos ilikuwa hatari kila wakati alipokuwa uwanjani na faida kubwa aliyoipata ni nyuma yake kulikuwa na viungo ambao waliweza kumpasia mpira haraka sana ( Xhaka na Partey , kabla ya mghana huyo kutoka hata Ceballos alifanya hiyo kazi )

Kuna kazi kubwa sana ya kuchagua mchezaji bora wa mwaka wa Arsenal uwepo wa Tierney, Saka , Leno na wengine . Yule beki wa Kiscotland anajua anachofanya uwanjani ...kupanda na kushuka, krosi , kujituma ...dakika kadhaa alipata shida upande wake lakini kwa asilimia kubwa alitawala sana upande wake

Kumbe wachezaji kama mvinyo tu . Mathieu Valbuena bado yupo yupo sana. Ubongo wake uwezo wake wa kufikiria haraka sana akiwa na mpira ndio unamrahisishia kazi uwanjani. Aliwapa kitu cha kufikiria Xhaka na Partey kila akipokea mpira nyuma yao

NOTE :

1: Kiwango kile cha jana inabidi wachezaji wa Gunners wakikopi na ku paste kwenye mechi za EPL

From George
Hivi mchezaji bora wa mwaka wa hii Arse8 anaweza kucheza club yeyote ile hapo epl?
 
George Graham


“Arteta is doing a very good job. Arsenal have outstanding young players, but they need help. Quality players around them to show them the way. They need to go out and buy two or three players, each costing £75m to £100m.”
 
Arsenal technical director Edu was presenting to the club’s owners this week. He laid out plans to reorganise the club’s worldwide scouting & recruitment operation and compete for the best young talents, as Arsene & Rowley did, in what now seems a different universe. [@MailSport]

It is thought Edu’s contacts in Brazil and Argentina will help the pursuit of teenage prospects who, with senior games behind them early, pose fewer visa complications. Contacts in France and Spain going back to the Wenger era remain strong.
 
Arsenal are interested in Brighton’s Tariq Lamptey and will look to extend the contracts of Folarin Balogun, 19, and Emile Smith Rowe, 20. Richard Garlick will be part of a set-up designed to ensure panic contracts are consigned to the past. [@MailSport]
 
Arteta and Edu have made it clear that, if Antoine Griezmann chooses to leave Barça this summer, they will be waiting for him in London with open arms. He has an offer on the table, but at the moment it is more than rejected. [@diarioGOLcom]

Now, with the arrival of Joan Laporta things could change, there are many who point out that Griezmann will most likely be one of those packing his bags this summer. Barca need to raise funds to sign Haaland. Griezmann will assess his future in the summer.
 
Arsenal have lost just one of their last 27 Premier League home games against Spurs - W15 D11 L1.
 
Back
Top Bottom