Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nimeangalia vzr, binafs bora nikose chakula sio kuchek arsenal

walikuwa na maajabu gani? hata last season, hawakupita kwa ubora bali eerors dk za mwisho, na auba kukosa goli,

kipind cha pili walicharuka kidogo baada ya Partey kutoka, baada ya muda wakarud kukaa nyuma..

Ukitoa 3 errors , arsenal alicheza vzr tu, kama anavyosema George
Mimi kwangu mpira siyo matokeo. Namna tunapata matokeo inamatter kwakua lady luck hawezi kua on your side milele.

Wewe unaongelea stats za possession ambazo zilikua ni back passes na sideway passes tu, hakuna through balls, hakuna counter. Katikati ya mechi niliingia hapa nikaandika 'Olympiacos wanafanya purposive movement, wakipata mpira ni kwenda kutafuta goli tu' siyo exact words lakini ndicho nilicholenga.

Olympiacos kutokana na hiyo mindset walicreate two big chances, sisi wenye possession 60% hatuna big chance hata moja.

Mechi tuliyocheza na leicester tukafanya comeback na mechi second leg na city ni mechi tulizoonyesha spirit, fluid movement na kiwango kuliko game ya jana.

Hatukua threat kwa Olympiacos kivyovyote. George anategemea stats ziandikwe aziwasilishe, hata hajataka kukilinganisha na alichokiona kwenye mechi.
 
nitakuwa wa mwisho kukuamini, yaani unasema tulicheza vibaya kisa pssess unadia haziend mbele, tungefungaje magoli with 8 on target shots?

hao olympiacos unaosema wamepata big chances 2, ni hizo errors za Arsenal, hata arteta kazisema, tuliwapa 3, moja wakaitumia, hizo 2, ndio hizo big chances zenyewe,

olympiacos had 1st half walikuwa na 1 on target shot, na nadhan ni blunder ya LUIZ,

TUSINGEKUWA threat wangetuzid maeneo muhimu, wewe upige ON TARGET 8, PASS 700, MAGOLI 3, BADO MPINZANI ASITENEGENEZE NAFASI BALI ARSENAL NDIO AMTENEGENEZEE NAFASI 3,

Capture.PNG

ingekuwa ARSENAL kapata matokeo na mpira wa ovyo, ningekuelewa, hakuna walichomzid arsenal jana,

arsenal ili sheki kidogo dk za mwanzo kipind cha 2, then ikarejea ku dominate mchezo, Hakuna timu isiyopiga side ways pass, na back passess, hakuna, zingekuwa zinapigwa hizo tu tusingetengeneza mashsmbulizi mengi

labda uelewe big chances ni zile za almost goal , ndio hiz arsenal waliwazawadia olympiacos 3, wakatumia 1, zaid ya hizo SIKUONA shambulizi lao lolote la kupata goli,
 
All three goals that Gabriel has scored have been assisted by Willian - who now has seven assists this season
 
Arsenal's recent games

Wolves A - penalty & red card
Villa A - Error >> goal
Leeds H - 2 goals conceded
Benfica A - Penalty conceded
Man C H - Concede inside 2 mins
Benfica A - Error >> goal
Leicester A - Error >> goal
Burnley A - Error >> goal
Olympiakos A - Error >> goal
 
Mohamed Elneny is the first player in #Arsenal’s history to score each of his first four goals for the club in European competition. v Barcelona (March 2016) v BATE Borisov (December 2017) v Dundalk (December 2020) v Olympiakos (March 2021)
 
Kieran Tierney has created more chances from open play (35) than any other Arsenal player in all competitions this season.
 
Keown on Gabriel:

"Gabriel is a proper central defender. The power, the finish… this is a proper player. Olympiacos are sloppy defensively but it’s a hell of a leap from Gabriel. It’s a powerful header, he wants to take charge & makes things happen. That goal changed the tie"

Image
 
Arteta on Odegaard:

"He helps us do the processes much better. He helps us because he gives us a lot of continuity on the ball. He's really intelligent to find spaces, he attracts a lot of opponents. He scored a brilliant goal & his contribution was really important for the team"

Odegaard vs Olympiacos

90% Pass accuracy
1/1 Accurate long passes
4 Chances created
1/4 Shots on target
2/2 Dribbles completed
8/9 Duels won

Arteta on the win:

"We started the game really well, really dominant & creating a lot of chances. Overall a really positive result but we have to stop making the errors that are costing goals because we cannot sustain that" #Arsenal

Arteta:

"We showed a lot of personality to come here & dominate like we did. The next thing is to do that for 90 minutes & give nothing to the opponent" #Arsenal

1615551768282.png
 
nitakuwa wa mwisho kukuamini, yaani unasema tulicheza vibaya kisa pssess unadia haziend mbele, tungefungaje magoli with 8 on target shots?

hao olympiacos unaosema wamepata big chances 2, ni hizo errors za Arsenal, hata arteta kazisema, tuliwapa 3, moja wakaitumia, hizo 2, ndio hizo big chances zenyewe,

olympiacos had 1st half walikuwa na 1 on target shot, na nadhan ni blunder ya LUIZ,

TUSINGEKUWA threat wangetuzid maeneo muhimu, wewe upige ON TARGET 8, PASS 700, MAGOLI 3, BADO MPINZANI ASITENEGENEZE NAFASI BALI ARSENAL NDIO AMTENEGENEZEE NAFASI 3,

View attachment 1723619

ingekuwa ARSENAL kapata matokeo na mpira wa ovyo, ningekuelewa, hakuna walichomzid arsenal jana,

arsenal ili sheki kidogo dk za mwanzo kipind cha 2, then ikarejea ku dominate mchezo, Hakuna timu isiyopiga side ways pass, na back passess, hakuna, zingekuwa zinapigwa hizo tu tusingetengeneza mashsmbulizi mengi

labda uelewe big chances ni zile za almost goal , ndio hiz arsenal waliwazawadia olympiacos 3, wakatumia 1, zaid ya hizo SIKUONA shambulizi lao lolote la kupata goli,
Mh yaani unauliza kwamba kama pasi hazikwenda mbele tungepataje magoli?

Ndiyo maana nilikuuliza kama uliangalia mechi. Kwa hii hoja yako ya 'Kama pasi hazikwenda mbele tungepataje magoli?' inanifanya niwe na shaka.

Mechi iliyopita dhidi ya Burnley tulipata goli kwa Partey kucheza 1 2 akatoa pasi kwa Willian,Willian akampa Auba ambaye akascore kwa kutokea kupembeni.

Hilo goli ni move ya goli na pasi zinazoenda mbele unaziona.

Katika magoli 3 ya jana ni lipi lilikua na move kama hiyo? Unahisi hoja yako siyo batili?
 
sasa ni sheria ipi inasema goli lazima liwe na one two?

kwahiyo magoli ya jana arsenal walifunga kwa kurudi nyuma? maana sijawahi kuona magoli bila kwenda mbele,

Goli la odergad na elneny,kwasababu yamekafungwa nje ya 18 basi, arsenal alizidiwa? Kwahiyo kila siku yafungwe magoli ya muvi 1 tu? magoli yote jana ni sababu arsenal alikuwa anapiga passess za mbele,

unadai Arsenal alizidiwa/ au hatukuwa threat kisa walitengeneza 2 big chances,

nimekudadavulia hapo maana ya big chances, hizo big chances walizitengeneza arsenal, wao hawakuwa hata na uwezo wa kupata on target hata 1, utaniambiaje arsenal alizidiwa?

hata KOCHA anapingana na unachosema...maana ambangile George umesema ni muongo..

Arteta on the win:

"We started the game really well, really dominant & creating a lot of chances. Overall a really positive result but we have to stop making the errors that are costing goals because we cannot sustain that" #Arsenal

Arteta:

"We showed a lot of personality to come here & dominate like we did. The next thing is to do that for 90 minutes & give nothing to the opponent" #Arsenal

HOJA ILITAKIWA IWE ERRORS TU, na sio perfomance .....

yaan timu iliyopata 2 on target , waalizopewa na arsenal wenyewe, ndio wamecheza vzr kuliko mwenye 3 goals, 8 on targets, 700 passess, 60% possessesio away, BASI ULIANGALIA MPIRA TOFAUTI
 
Mimi hua siongei sana. Nakuambia ukweli ukibisha subiri uone kitakachoendelea uwanjani.

George si kasema hicho kiwango kikapestiwe kwenye ligi, sasa next game kwenye ligi tupo na Spurs.

Ni Jpili siyo mbali.
 
mpira mchezo wa makosa, ndio maana Arteta kasema hayo makosa lazima yakomeshwe, but hatuwez kuacha style ya kuanzia nyuma,Sasa kama unatakw kutetea POINT zako kwa kusubiri arsenal afungwe na spurs, mpira haupo hivo, tunaweza kushinda au kufungwa kwa angle tofauti kabisa au kushinda kwa namna nyingine kabisa

mm naamini tunahitaji kiungo mwingine kariba ya partey , wa kupokea mipira nyuma kwa mabeki, XHAKA ni anaudhaifu hasa wakutumitia mguu mmoja, aki pressiwa ni danger, ceballos hana quality ya kutosha,

tukiondoa hizo errors , Perfomance ya timu ni nzuri , kilichobaki ni ku inject Quality players maeneo baadhi, mfano

RB, partership ya Partey na XHAKA inahitaji msaidizi mwingine mwenye quality, NENY, CEBALLOS, TORREIRA, GUENDOUZ, not enough...
 
First leg spurs alitufunga 2 bila.

Alcheza kama olympiacos walivyocheza jana na sisi tulicheza kama jana tulivyocheza.

Back passes, sideway passes na krosi. Eti paste hicho kiwango EPL, humu kwenye uzi watu wanakimbia kwa hicho George amekibatiza jina la kiwango.

Mimi sitarajii Arsenal ifungwe na Spurs ili ninachoandika kiwe sahihi, next games baada ya spurs ni Olympiacos, Westham na Liva. Ili nilichoandika kiwe sahihi majibu yatapatikana hapo katika hizo games nne.

Hua hamuelewi hadi mshuhudie.
 
Back
Top Bottom