Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hiki kikundi cha ngoma za kienyeji kikifungwa hua naskia raha sana.
 
Sisi tulipomtimua Lampard mlitucheka na wengine wenu mkasema apewe muda kwa kejeli. Vumilia tu Arteta apewe muda aijenge timu ya ushindani
 
Ka kawaida yangu mtoa pole, naendelea kuwapa pole tu.
 
Sisi tulipomtimua Lampard mlitucheka na wengine wenu mkasema apewe muda kwa kejeli. Vumilia tu Arteta apewe muda aijenge timu ya ushindani
Kwa comment yako imebidi nijibu,kweli kabisa Arsenal haijitambui na haijui itakacho that's the truth, Arteta katupa makombe 2 yes that's fine ila tangia aifundishe Arsenal kuanzia January 2020 hadi sasa February 2021,nafasi yake ya juu kwa Arsenal ni ya 8
kama viongozi hawana vision ,mimi kama shabiki kwa nini nipoteze hela zangu kibanda umiza kuangalia mechi za Arsenal?

Kocha bora mnayesema apewe muda katika mechi 23 kafungwa 10
 
Ahh, mkuu eee sio poa bhana.
 
Ukweli siku zote uponya ongera kwa kuongea ya moyoni
 
Nakuunga mkono, hakuna kitu mle, angalia mfano Willian yeye pupupupu, kiukweli arsenal ni timu moja ya kipumbavu. Ona sasa imegawa point Sita kwa Aston villa
Mkuu uliniomba tuwe pamoja mpaka mwisho wa show, umeiona show?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…