Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

In my opinion, Tierney ni beki mzuri sana na ni mchezaji mahiri na hodari but kwa kuumia kwake mara kwa mara inakuwa kama ni liability kwa Arsenal hawezi kumaliza mechi 10 mfululizo bila kuumia,tangia aje Arsenal yeye ni majeruhi kwenda mbele,arsenal inahitaji LB wa uhakika ambaye anacheza mpira vizuri huyu Tierney sio wa kumtegemea na nina uhakika 100% hata akirudi next week may be,hatacheza mechi 6 au 7 bila kuwa majeruhi
 
Bora huu uchafu umeondoka aiseeeee......
kwakweli , ndio maana naamini arteta atakuja kupata timu kali,

timu ilijaa deadwoods,

kuondoka kwa mustafi, kolasinac,ozil, willock,niles,toreira,guendouz, na summer luiz, elneny sidhan kama watabaki, hii inafungua mlango wa kusajiri wachezaji wazuri kwa mishahara reasonable kabisa....

willock alipewa nafasi, hakuna kitu...kutolewa loan ndio safari imewadia, Nilikuwa natamani aje kocha atakayepitisha fagio kama hili,ARTETA ataijenga arsenal nzuri , ya kuvutia.....

ceballos, huyu naona akirud spain,
 
Liked

Dogo akafanye kitu pale Newcastle ili tuone potential yake

Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna kitu humo , arteta alikatumia hakukuwa na namna, huko ndio level zake,

huyu dogo ni average kupindukia, nilikuwa najiuliza watamuondoaje....

anayejua anajua

amegraduate na kina smith rowe, saka alikuwa nyuma yao, lkn wenzake walipopewa nafasi uwezo wameonesha, willock alipewa nafasi sana, lkn sifuri
 
kwakweli , ndio maana naamini arteta atakuja kupata timu kali,

timu ilijaa deadwoods,

kuondoka kwa mustafi, kolasinac,ozil, willock,niles,toreira,guendouz, na summer luiz, elneny sidhan kama watabaki, hii inafungua mlango wa kusajiri wachezaji wazuri kwa mishahara reasonable kabisa....

willock alipewa nafasi, hakuna kitu...kutolewa loan ndio safari imewadia, Nilikuwa natamani aje kocha atakayepitisha fagio kama hili,ARTETA ataijenga arsenal nzuri , ya kuvutia.....

ceballos, huyu naona akirud spain,
Nadhani tumpongeze Arteta kwa hii kazi aliyofanya maana naona amejitahidi kuondoa wachezaji aliyewaona hawamfai. ILA.....Kipindi kilichobaki najiona nikiwa mkali kwake maana binafsi namuona kama bado siyo kocha wa hali ya juu, si kwa mbinu uwanjani wala kwa man management ya wachezaji. Nafasi tuliopo na Arteta, Emery na hata Wenger walifanya bora zaidi na vikosi dhaifu. Labda anahitaji assistant anayejua mbinu za kushambulia na kucheza mpira unaovutia maana statistically hatujafungwa magoli mengi kama timu zingine nyingi kwa hiyo tunajitahidi kuzuia magoli. Kasheshe ipo kwenye kuyafunga sasa. Tuna washambuliaji ambao wanahistoria ya kuwa wanfungaji bora au mingoni mwa wafungaji bora kwenye ligi walizotoka. Huenda tatizo haliko kwa wachezaji pekee, kocha naye naona awajibike kwenye hili.

Kila la heri kwa wabunifu wetu ESR, Partey na Odegaard. Labda ubunifu utaimarika na magoli yatatengenezwa kupitia katikati siyo kutegemea cut-back na cross za kina Tierney, Saka na Cedric tu.
 
Yupo vizuri mkuu, ni suala la muda hata yeye anasema,na muda unavyozidi kwenda unaona anazidi kuwa bora pia kimbinu.

kipindi tunapigwa na Villa,Leicester first round ilikuwa inakatisha tamaa sana maana kila kitu kilikuwa dhohofu hali, yaani hatufungi na kupeleka mpira mbele ilikuwa tatizo, ila sasa unaona flow nzima ya soka hata vijana wadogo tukianza nao wanaonesha uwezo, we get better.
 
Sawa. Tumpe muda. Leo na Wolves ni ushindi tu ndiyo utakubalika, matokeo mengine hatutaki kuyasikia.
 
1612278526840.png
 
Back
Top Bottom