Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi na huo urembo unashabikia loserfool kweli, umeniangusha...
Hahahah Hv unalinganishaje Liver na Arsenal
Nyie wenye rekodi ya kuchana mikeka ya watu hadi sasa ishajulikana u cant rely on Arsenal winning
 
Abscence of key players was a reason for a draw, nimesikiliza interview ya Arteta, inaonekana Auba yupo London muda ila yupo quarantined
 
One more thing, technically mara nyingi nani apige free kick inategemea na position ilipotokea faulo, ndio maana utanaona wana swap Willian, xhaka, Pepe, Lacazette, Luiz etc, nadhani unanielewa I dont need to go into details
 
Sare zinaudhi sana. Tena na hawa wahuni wahuni tu hata siyo timu nzuri ya mpira, daah.
 
Arsenal considering a move for Crystal Palace's Patrick Van Aanholt as a back up for Tierney.
Your thoughts...

Kocha Anajaribu kutafuta Beki wa kushoto Atakaye saidiana na KT master Kieran Tierney maana huyu beki anatumika sana hii inamsababishia majeruhi ya Mara kwa Mara


 
Tuliwakosa Saka Tierney lakini bado naona Tim ilikua sawa kwa upande wangu
Tim ilitengeneza nafasi za kutosha na mashambuliz yalikua mengi kwenye lango la man u
Laca akagongesha mwamba, pepe akwakosa Mara mbili, Smith Rowe shuti lake Kali likapanguliwa na de gea, wilian akakosa nafas ya wazi kabisa
Kilichotunyima ushindi ni bahati tu lakini Tim ilikua imara na ilitengeneza nafasi za kutosha tu
Nimependa combination ya Patey na Xhaka iko vzuri sana..wamepiga mpira mwingi na wanaonekana kuelewana zadi
Patey alikua anacheza Ila hakua fiti kwa asilimia Mia ndo Mana Kama alipoa flani ivi naona alikua anacheza kwa kuofia kutonesha maumivu ingawa alikua anaituliza Sana Tim yeye na Xhaka
Kama wasipopata majeraha Basi kiungo kitaendelea kuwa timamu zaidi..Xhaka Jana kapiga kazi ya kufa mtu
Nimependa Sana jins timu yetu inavyopambana kutafuta matokeo uwanjani kila mtu anafight anakimbia awezavyo
Kuna kitu naona kimewajia kichwani kuwa kufungwa hatustahili..all in all tujipange kwa next game
All the best our team





 
Hii picha ya mniga partey nimewaonesha nyumbu naona wame like
Dawa imewaingia,
 
Pepe Jana Alicheza Vizuri Kiasi Chake Na Tofauti Iliyopo Kati Ya Pepe na Saka ni Kwamba Saka Ana Maamuzi Sahihi Kwa Ajili Ya Team Na Pepe Anapenda Sana Kufanya Maamuzi Binafsi..Sehemu Nyingi Ambazo Pepe Huzigeuza Kuwa Kosakosa Saka Huzifanya Kuwa Nafasi Rahisi Kwa Wenzake Kufunga Yan Saka Ni Mwepesi Wa Kunyanyua Macho Na Kutazama Wenzake Kuliko Pepe..


Muendelezo Mzuri wa Viwango Kwa Leno Holding Xhaka Na Rowe Wana Game Nyingi Sana Wamekuwa Katika Viwango Bora Na Kutimiza Majukumu Yao Vyema...Tuliwamiss Sana Saka Na Tierney Kuliko Auba
Laccazette Akiwa Katika Ubora Huu Ndani Akawepo Saka Auba au Martinell Akiyepo Fit Watafaidika Sana Na Huyu Mwanaume Ambaye Haogop Kuumia wala Kuweka Mwili Wake Ili A win Mpira Huyu Mwamba Tunamuhitaji Sana Awe Fit Vurugu Zake Kule Mbele Mabeki Wa Team Pinzan Hukosa Raha Na Kuchoka Kina Auba Wanakuwa Na Kazi Ya Kutupia Tuu


N:B Yule David Luiz kuna Game Ukimuangalia Utasema Ndo Kitasa Bora Cha EPL Aisee Akikukamia Yule Utasema Huyu Ndo Centre Half Bora Kabisa ..Inaonyesha Anapenda Sana Game Zenye Changamoto Kubwa


 
According to
@Scottwilsonecho
, Newcastle are involved in talks over three different midfield targets. Hamza Choudhury, Oliver Ntcham & Joe Willock are all the subject of ongoing discussions involving the Magpies.
 
Arteta on if Mustafi, Nelson & Maitland-Niles could leave: "There are some conversations at the moment going on. I spoke with all the players about their own situation because they are all aware of the minutes that they are playing & they want to improve their situation"

 
Arteta on Smith Rowe:

"He played a really good game. Even in the first half when he got involved I think he made a real difference. I think he increases the pace & the rhythm of the team when he’s around the ball & defensively he’s working so hard as well" #Arsenal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…