Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Miaka 10 iliyopita mpaka leo Newcastle ametufunga games hazizidi 3. Kwa miaka yote hiyo imekua ni kipigo au suluhu. Na hichi ni kipindi kigumu kwa Newcastle, imekua ni kipigo kila inapogeuka. Kabla game ya jana kuchezwa Arteta aliulizwa kama anamuonea huruma Steve (Kocha wa Newcastle) akajibu ndiyo kwakua anaelewa ni kiasi gani timu kuhitaji ushindi kunavyowafanya mashabiki.

So kwa kifupi timu yetu jana ilicheza na timu dhaifu. Andy Caroll, striker wa Newcastle, profile yake inaonyesha hana outstanding strength halafu outstanding weakness aliyonayo ni 'finishing' now niambie inawezekanaje weakness ya striker iwe finishing?

Jana Luiz na Holding hawajafanya ground duels au aerial duels nyingi na kushinda kumzidi Lacazette. Imagine mabeki wetu wanashindwa kazi ambayo walitakiwa waifanye vizuri kuliko strikers. So yeah nafikiri mnapata picha ni timu ipo kwenye hali gani ndiyo tulicheza nayo jana.

Tumeshinda, ni deal poa, lakini our challenges are still ahead. Kuna Wolves, Southampton na United, huu ushindi ingawa umepatikana katika hali hii lakini unatosha kubust morali, ila usikutoe kwenye reli ukaanza kuwaza makubwa, bado tunahitaji AM, tuliyenaye sasa hivi strength yake kubwa ni Passing, nothing else, yaani ni hicho tu.

Taarifa zilisema inatakiwa Ozil na Sokratis waondoke ili aje mtu mpya. Fabrizio alisema kuna mazungumzo na Draxler na Buendia yanaendelea, haya mazungumzo yakamilike haraka. Baada ya hapo kila mmoja wetu atakua anajua timu ina muelekeo gani.

Na pia wakuu nisaidieni na hii ishu. Nimeomba msaada tangu asubuhi na hakuna aliyejibu na sitamani hii chansi inipite.

Inatarajiwa turudi uwanjani tarehe 23 kucheza na Southampton. Itakua kwenye FA, kisha tarehe 26 tunacheza nao tena kwenye ligi. Southampton amecheza na Shrewsbury kwenye FA ili kukutana na Arsenal, wameshinda hii mechi bila Danny Ings.

Theoretically ilitakiwa ituonyeshe Soton are deadly. Ila Shrewsbury haijatrain kwa wiki 3, wachezaji na staffs zaidi ya 20 wana corona. Miongoni mwao ni kocha wao mkuu ambaye aliiangalia game akiwa hospitalia also Soton walimkosa Ings ila walikua na Ward Prowse, Amrstrong, Che Adams et al so they didn't lack much ukiwalinganisha na Shrewsbury.

Tukiweka pembeni ideology za mpira dakika 90 sisi tuna timu nzuri FA kuzidi baadhi ya opponents, miongoni mwao ni Soton, last time tunacheza na Soton tulitoka moja moja, huku tukiwa na red na tukiwa hatuna morali (tulitoka kufungwa 1 na Burnley huku tuna red) na hatuna AM so we were shitty.

This time around wanakutana na Arsenal yenye purpose. A win in a FA inatupeleka kukutana na Wolves a win in a league inatupeleka a step towards a right direction and above Chelsea na kuanza kuitafuta top 4.

We are doing fine.

Kama hayatatokea majeruhi kwa yeyote nafikiri tutamdisappoint Soton. Sisi tumecheza na weaker opponent Newcastle but at least our opponent was in shape.
 
we are in the market to sell or loan out and not to buy(my opinion). Remember we took a short term loan maturing in six month i think, and so priority is balancing the books.
On the AM position, arsenal DNA is passing and picking locks and Smith Rowe fits the bill.I think Willian given time- just like Luis we come in handy especially at the tail end of this seasons campaign when fatigue checks in on this kids.
Perhaps give names(be realistic) of who you prefer and the extra strengths they poses
 
Kuna Isco na Odegaard kama idea ni kupursue mkopo. Na Arsenal iloshaditch hizo options 2.

Arsenal kachukua mkopo, lakini Arsenal alikua ana 40M alizotaka kuzitumia kumsajili Aouar. So siamini kama Arsenal haina pesa kiasi kwamba eti option pekee ni mkopo. Arsenal ilihitaji Ozil na Sokratis waondoke ili iweze kubalance hizo books na mmoja ameondoka bado mmoja.

Unataka niwe realistic as in what? Kama wewe unafuatilia mpira kuna waandishi wakisema kitu juu ya usajili ujue ndiyo ipo hivyo. Mimi nimetaja majina ya AM ambao Arsenal imeanza nao mazungumzo.

Na hiyo taarifa imetoka kwa Fabrizio Romano. Unless kama una taarifa mpya then nilichoandika still stands.
 
Acha upuuzi dogo.
Pambana usishuke daraja
Timu iliyoko darajani ndiyo ijiangalie isije ikashuka daraja 😂😂😂

Arsenal gali ndiyo imewaka hivyo, we are there to stay 💪💪💪
 
Inatarajiwa turudi uwanjani tarehe 23 kucheza na Southampton. Itakua kwenye FA, kisha tarehe 26 tunacheza nao tena kwenye ligi. Southampton amecheza na Shrewsbury kwenye FA ili kukutana na Arsenal, wameshinda hii mechi bila Danny Ings.

Theoretically ilitakiwa ituonyeshe Soton are deadly. Ila Shrewsbury haijatrain kwa wiki 3, wachezaji na staffs zaidi ya 20 wana corona. Miongoni mwao ni kocha wao mkuu ambaye aliiangalia game akiwa hospitalia also Soton walimkosa Ings ila walikua na Ward Prowse, Amrstrong, Che Adams et al so they didn't lack much ukiwalinganisha na Shrewsbury.

Tukiweka pembeni ideology za mpira dakika 90 sisi tuna timu nzuri FA kuzidi baadhi ya opponents, miongoni mwao ni Soton, last time tunacheza na Soton tulitoka moja moja, huku tukiwa na red na tukiwa hatuna morali (tulitoka kufungwa 1 na Burnley huku tuna red) na hatuna AM so we were shitty.

This time around wanakutana na Arsenal yenye purpose. A win in a FA inatupeleka kukutana na Wolves a win in a league inatupeleka a step towards a right direction and above Chelsea na kuanza kuitafuta top 4.

We are doing fine.

Kama hayatatokea majeruhi kwa yeyote nafikiri tutamdisappoint Soton. Sisi tumecheza na weaker opponent Newcastle but at least our opponent was in shape.
😀Ndugu Hamna timu za kuzitoa top 4 .....Kati ya city. Leicester, nyumbu, liverpool
 
Notice nilichoandika.

Top 4 is within reach kama atasajiliwa AM.

Nilichofurahi ni kuona umejitoa katika hizo mbio, now you know your place. Na wenzako watagundua hilo soon.
 
Back
Top Bottom