Hakika, hata mifumo yao ya maisha imebadilika toka tukio lile la vibaka kuwavamia. Sema Kolasinac ni fighter in real life na Özil nguvu na ushawishi aliojaliwa ndio vimemfanya kuwa yeye. Ukiachilia wao kuwa mashabiki wa klabu ndani ya London wamewekeza pia. Kuna migahawa ya Özil, Özil X Kolasinac, Saloon na kampuni za mavazi and co.
Wnapaona kama sehemu muhimu kwao, Özil anatanabaisha London kama sehemu ya pili kwake baada ya Instanbul. Sead anapaona kama sehemu ya tatu baada ya Schalke na Sarajevo. Yote kwa yote Arsenal ni familia.



Humu ndani naona kama kuna kaamani flani kame tawala.
Nawaona hata tulio wazika wamesha fufuka, hili ni lakushukuriwa sana.
Ila kumbukeni kuna mwamba anajiita Zaha, huyu jamaa sio mtu mzuri, anaweza kuwarudisha watu walipo kua mwanzo.
Habari mbaya ni Nketiah ataendelea kuwepo, hauizwi dirisha hili.
Ooops! Wachezaji wenye potential x future ni Saka, Martinelli, Smith Rowe, Gabriel, Tierney na Toreirra. Hawa wengine walionekana lakini hawana potential (Nketiah na Nelson), Willock anapotential lakini hana future kama ilivyokuwa kwa Wilshere, Kibbs na Bendtner. Hasa Nketiah na Willock ni tataka ndogo zinazotakiwa kutupwa mapema.Huyu Nketiah nikimtazama akicheza, namuona ana potentials may be Arteta anahitaji 'kumsuka' vizuri.
Kwa kipindi tulicho pitia hapo nyuma, wakati mwingine ni vigumu sana kuwa assess hawa junior players. Kama kina Auba, Lacca, Willian nao walipotea kule mbele binafsi napata kigugumizi kuwalaumu hawa 'makinda'.
Kwenye soka eneo gumu sana kupata young players wanao shine kwenye umri mdogo ni striking, mara nyingi players hukomaa kwenye eneo hilo baada ya kumudu mikiki mikiki ya muda mrefu against 'stubbon defenders'.
Elsewhere, bado nasema Arteta ni kocha mzuri anahitaji muda na resources ili project yake ifikie maturity.
Nikitazama age na viwango vya akina Saka, Martinelli, Niles, Holding, Tierney, Smith Rowe, Nketiah, Reiss Nelson, Gabriel na Willock.... I simply see a bright future ahead!!



Ooops! Wachezaji wenye potential x future ni Saka, Martinelli, Smith Rowe, Gabriel, Tierney na Toreirra. Hawa wengine walionekana lakini hawana potential (Nketiah na Nelson), Willock anapotential lakini hana future kama ilivyokuwa kwa Wilshere, Kibbs na Bendtner. Hasa Nketiah na Willock ni tataka ndogo zinazotakiwa kutupwa mapema.
Nasimamia hili! Arsenal sio kwamba haina AM labda AM aliwekwa chini nafasi yake akachukua unayemuona ana potential Willock, je amefanya nini? Amekuja Smith tayari unaona kwamba kuna takataka ilikuwa inajaza upana wa kikosi. Martinelli mechi tatu tu kuna muonekano tofauti na Nketiah. Bado huoni utofauti kweli?
Nketiah na Willock huwa napenda kuwaangalia runs zao na namna wanavyo jiposition na wako vizuri kwa kweli. Kuna wakati wanajiweka vizuri na hawapewi mipira na wakati mwingine wanapewa mipira ambayo kwa jicho la kishabiki ni scoring chance ila technically ni 'uchochezi'.
Kwenye timu isiyo na AMs kama yetu ni vigumu sana kuwaona uwezo wao. Rudi kwenye Stats zetu, utaona ukiachilia mbali hizi mechi 4 za mwisho tunatengeneza nafasi chache nadhani kwenye ligi Arsenal ni moja ya timu butu mbele in terms of chances created.
Rudi kwa timu kama City utaona ana 'brilliant' KDB, Sterling, Mahrez na Bernado Silva... hawa wote wanatengeneza nafasi nyingi ukiachilia mbali kufunga.
Nilicho taka kusema ni kuwa, hawa vijana na hata Lacca, Auba nk watonekana hovyo kama tu tutabaki na kiungo mbovu ya ushambuliaji. City anashinda goli 2 au 3 lakini clear chances kwenye game katengeneza 6 hadi 10.
Nasimamia hili! Arsenal sio kwamba haina AM labda AM aliwekwa chini nafasi yake akachukua unayemuona ana potential Willock, je amefanya nini? Amekuja Smith tayari unaona kwamba kuna takataka ilikuwa inajaza upana wa kikosi. Martinelli mechi tatu tu kuna muonekano tofauti na Nketiah. Bado huoni utofauti kweli?
Wenger hakuwa na hiki kikosi endapo angelifanikisha kuwa na kikosi hiki naamini angefanya makubwa. Nketiah na Willock toka mwanzo binafsi sikuona mchezaji hapa.Yes tofauti ipo sikatai, ila kwa mazingira yalivyo nimekataa kuwalaumu moja kwa moja ila natoa pongezi sn kwa players km Saka, Smith Rowe nk kwa kushine kwenye mazingira magumu tuliyo nayo.
Auba ambaye ni top scorer tangu atue pale naye ameflop naye tuseme ni taka taka? Wengine walienda mbali na kutaka Arteta afukuzwe lkn binafsi nilikataa nikasema tuna tatizo la kitimu zaidi ndiyo maana hata Wenger alistruggle sn mwishoni na kwa Emery pia ilikuwa ni hivyo hivyo.
Wenger hakuwa na hiki kikosi endapo angelifanikisha kuwa na kikosi hiki naamini angefanya makubwa. Nketiah na Willock toka mwanzo binafsi sikuona mchezaji hapa.
Banafsi siamini katika Arteta, kocha unavigezo unatakiwa kuwa navyo siyo jeuri, kibri naunafiki.
Hakuna aliyewahi nijibu hilo swali.
Sina hakika kama Wenger hakuwa na vikosi vyenye ubora kuzidi hiki ila pia inawezekana ni mahitaji ya wakati. Unaweza sema hiki ni kikosi kizuri lakini me nakiona cha kawaida sana pia.
Kipindi cha Wenger, Liver hakuwa alivyo leo, City pia, Spurs hata hizi mid-table teams km Wolves, Palace, Leicester na Everton hazikuwa zilivyo leo.
Kushindana na hizo timu hapo juu unahitaji wachezaji na kocha mzuri na mzoefu, hivyo kwa kuzingatia wapinzani walivyo jiweka ndiyo maana nasema kikosi chetu ni cha kawaida pia.
Liva wenyewe hawana kikosi cha kugombea hata makombe mawili ndani ya msimu mmojaWakishapunguza mzigo wa Ozil, there is a reason for reinforcement. Bado hatuna kikosi kipana cha kupigania makombe matatu
Hello.Tumeamua kuja kubanana hapo, ajipange mwenyewe
sio kweliLiva wenyewe hawana kikosi cha kugombea hata makombe mawili ndani ya msimu mmoja
Kikosi chao kilichoanza FA ulikiona?sio kweli