Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
KWA MJIBU WA #CIES_FOOTBAL_OBSERVATORY BUKAYO #SAKA NI MCHEZAJI WA 15 KWA WACHEZAJI WENYE BEI KUBWA
Ni taarifa na statistics za vyombo ya habari kwamba Kwa mjibu wa #Cies_footbal_observatory
#Bukayo_saka ni mchezaji wa 15 duniani mwenye gharama ya €116.2 sawa na £105 ambaye yuko mbele ya akina Harry Kane,Ansu fati,Vinicious Jr,Gnabry
Ni taarifa njema na nzuri kwa kijana huyu kwasababu itamsaidia kuendelea kujituma zaidi
Na kama moto alionao ataendelea nao hivi na asipopata majeruhi namuona akienda kuwa Mchezaji bora kinda wa #EPL

" width="" height="" />
" width="" height="" />
" width="" height="" />