Yuzo mawe
JF-Expert Member
- May 31, 2019
- 494
- 551
Kitu kingine kigumu ni sub kwa CB. Anaweza risk, lakini.Nani akae bench kati ya Pablo na Rob? Pablo ni left footed, so is Gabriel, sidhani Mikel anaweza kuweka left footed wawili nyuma. Kama Gabriel anaingia I think Pablo will sit on the bench despite his excellent performance so far. If we stick with our winning team basi Gabriel akae bench, Je, Mikel atamuweka bench?
TumepgwaaPepe vipi wakuu hatujapigwa kweli?
Hata mimi nilitaka kusema km wewe kuweka CB wote wawili wanaotumia mguu wa kushoto ni ngumu sana mara nyingi inakuwa rahisi kuwapanga wote ikiwa wanatumia mguu wa kulia kuliko kushoto. Kwa maana hiyo sasa ni vigumu sana Rob kukalia bench.Nani akae bench kati ya Pablo na Rob? Pablo ni left footed, so is Gabriel, sidhani Mikel anaweza kuweka left footed wawili nyuma. Kama Gabriel anaingia I think Pablo will sit on the bench despite his excellent performance so far. If we stick with our winning team basi Gabriel akae bench, Je, Mikel atamuweka bench?
Arsenal haijazoea kuspend kiasi kikubwa kama kile, wenzetu wengine wamerisk same amount au zaidi na haiwasumbui as ni spenders tangu zamani.Pepe vipi wakuu hatujapigwa kweli?
Nani akae bench kati ya Pablo na Rob? Pablo ni left footed, so is Gabriel, sidhani Mikel anaweza kuweka left footed wawili nyuma. Kama Gabriel anaingia I think Pablo will sit on the bench despite his excellent performance so far. If we stick with our winning team basi Gabriel akae bench, Je, Mikel atamuweka bench?
Inawezekana tusisajili dirisha hili.
Arteta kaweka wazi kwamba lengo kuu katika dirisha hili ni kupunguza kikosi. A lot of dead woods wanatakiwa kuondoka.
Tunahusishwa na Buendia, ila price tag ya 40M ni kisanga, tunahusishwa na Julian Brandt, Draxler, Erriksen, Aouar n.k lakini hakuna tulipofanya official bid mpaka sasa.
Arteta hatakiwi kuamini creativity ya kikosi cha sasa kwa kiasi aone hatakiwi kusajili. Notice jinsi bila Emile tulivyokua forced kwenda extra time, now huwezi kua na mchezaji mmoja kwa nafasi muhimu itakua ni kumchosha.
So tukiwa serious tunahitaji AM, LB, RB, ST na RW. Ila kwa sasa nafasi ambayo ikiwa covered tutakua na uwezo wa kuingia top four ni AM.
Kuna pesa ilitakiwa itumike kumsajili Aouar na haikutumika means hicho kiasi chaweza tumika kutatua tatizo la timu. Akileta akili za Wenger basi hapa tujiandae kua na gari linaloweza kuzima au kuwaka muda wowote.
Inawezekana tusisajili dirisha hili.
Arteta kaweka wazi kwamba lengo kuu katika dirisha hili ni kupunguza kikosi. A lot of dead woods wanatakiwa kuondoka.
Tunahusishwa na Buendia, ila price tag ya 40M ni kisanga, tunahusishwa na Julian Brandt, Draxler, Erriksen, Aouar n.k lakini hakuna tulipofanya official bid mpaka sasa.
Arteta hatakiwi kuamini creativity ya kikosi cha sasa kwa kiasi aone hatakiwi kusajili. Notice jinsi bila Emile tulivyokua forced kwenda extra time, now huwezi kua na mchezaji mmoja kwa nafasi muhimu itakua ni kumchosha.
So tukiwa serious tunahitaji AM, LB, RB, ST na RW. Ila kwa sasa nafasi ambayo ikiwa covered tutakua na uwezo wa kuingia top four ni AM.
Kuna pesa ilitakiwa itumike kumsajili Aouar na haikutumika means hicho kiasi chaweza tumika kutatua tatizo la timu. Akileta akili za Wenger basi hapa tujiandae kua na gari linaloweza kuzima au kuwaka muda wowote.
Naona RB yule Cedric yupo bien sana, huenda hata akachukua nafasi ya Bellerin kama akizingua. Nadhani RB haina tatizo, shida kama ulivyosema ni AM, LB na RW.
Tangu aijunge na Arsenal Willian ana shots on target 2 tu. Ian Wright, ambaye ndiye alimwambia Arteta aanze kuchezesha youngsters, juzi alisema kuna wingers wana bei kubwa ila hawatoi nusu ya gharama wanayolipwa.
Dongo kwa Willian.
Juzi, Auba anapiga shuti, kipa wa NC anauokoa, unatua kwa Willian, anapiga shuti, kwa uzoefu wake unatarajia angalau angelenga goli. Badala yake lile shuti lilitaka kwenda kuangua saa ya uwanjani.
Emile na Saka walitulia wakiombea Willian na Pepe waprove unworthy ili wasitishiwe nafasi zao kwenye first XI ya ligi.
Pepe alikua poa alijaribu kutingisha ngome ya NC ila hakutosha kuleta ushindi. Kwakua hata Saka hakutoa assisst wala hakua lethal lets assume kwamba hata Pepe angekuepo bado ushindi ungepatikana.
Kazi ipo kwa Willian, kawekwa namba 10 timu haikuonyesha uhai anaingia Emile goli la kwanza linatoka mguuni kwa Emile hapo yeye alipaisha shuti eneo ambalo huwezi dhania. Pia hii siyo mara ya kwanza.
Willian atavuna $40M katika muda wote atakaokua Arsenal. Ni pesa nyingi kwa mchezaji ambaye anacheza makida makida. Plan ya Arteta ni kupunguza kikosi, Ozil aliombwa kuvunja mkataba kwanini isiwe kwa Willian na Luiz? Au anajaribu kulinda wachezaji aliowasajili (Luiz hayumo)
Good observation. Alichofanya Saka ni kutoa key pass 1.Goli la kwanza, pasi ilianzia kwa Saka, baadae Lacazette kabla mpira haujamfikia Emile
Anahitaji game time. Katika mechi nilizomuona sijaona ubaya wakeNaona RB yule Cedric yupo bien sana, huenda hata akachukua nafasi ya Bellerin kama akizingua. Nadhani RB haina tatizo, shida kama ulivyosema ni AM, LB na RW.
Kolasinac kwenda Ujerumani kwa mkopo ni family cases, dirisha la joto angeliondoka lakini masuala hayakuwa vizuri. Yes yeye ni rafiki mkubwa wa Özil lakini pia ni mmoja wa wachezaji wa Arsenal ambao pia ni mashabiki wa Arsenal same kama Özil. Akimaliza shughuli za kifamilia katika miezi hii sita atakuwepo kundini.Yah Cedric yupo fine sana na pia tuna Maitland Niles naye anaweza toa good cover kwenye RB.
LB tuna crisis nadhani hata Arteta anajua, lakini Kolasinac ilikuwa lazma aondoke salary yake ni kubwa sn na pia ni 'mshkaji' wake sana na Ozil may be imeongeza uzito pia ukizingatia situation ya mgogoro wa Ozil na club ulivyo.
RW nadhani huyu Saka ahamie kule mazima naona kama anacheza vizuri sn kama modern RW, wasaidiane na Pepe kule. Willian naona kama confidence imedrop pengine hii imetokana na performance ya timu kwa ujumla ila akiwa vizuri bado anaweza tumika kama LW, RW na AM pia.
Kolasinac kwenda Ujerumani kwa mkopo ni family cases, dirisha la joto angeliondoka lakini masuala hayakuwa vizuri. Yes yeye ni rafiki mkubwa wa Özil lakini pia ni mmoja wa wachezaji wa Arsenal ambao pia ni mashabiki wa Arsenal same kama Özil. Akimaliza shughuli za kifamilia katika miezi hii sita atakuwepo kundini.
Kolasinac, Xhaka, Mustafi, Guendouzi, Chambers na Toreirra hawa ni Özil's Gang.
Hakika, hata mifumo yao ya maisha imebadilika toka tukio lile la vibaka kuwavamia. Sema Kolasinac ni fighter in real life na Özil nguvu na ushawishi aliojaliwa ndio vimemfanya kuwa yeye. Ukiachilia wao kuwa mashabiki wa klabu ndani ya London wamewekeza pia. Kuna migahawa ya Özil, Özil X Kolasinac, Saloon na kampuni za mavazi and co.Sawa mkuu, nakumbuka pia kuna kipindi walivamiwa na 'wasiojulikana' wakiwa na Ozil, wale jamaa walitaka kuwadhuru kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi.
Tangu pale pia nahisi yeye na Ozil hawako huru sn pale London na waliondelewa kwenye squad kwa baadhi ya mechi kwa kuhofiwa usalama wao japo wote kwa nyakati tofauati wamekiri kufurahia maisha ya Emirates.