Kama nyinyi mashabiki wa man u mnaona timu ya kuitambia kua wa pili ni Arsenal ambayo wala haina mpango wa ubingwa hii inamaanisha mnajua wazi kua hamstahili kua hapo. Alianza Everton, City, Leicester, Chelsea na sasa ni nyinyi vibonde wetu.Umefanya vizur kuwaletea huku huku kwao, maana kule kwetu hawawezi tua.
Kama nyinyi mashabiki wa man u mnaona timu ya kuitambia kua wa pili ni Arsenal ambayo wala haina mpango wa ubingwa hii inamaanisha mnajua wazi kua hamstahili kua hapo. Alianza Everton, City, Leicester, Chelsea na sasa ni nyinyi vibonde wetu.
Nyinyi mnastahili nafasi ya kwanza? Recruitment yenu mbovu, benchi la ufundi bovu, kocha mbovu.Nashukuru kwa kulitambua hilo.
Ni kweli sisi Man United hatustahili nafasi ya pili.
Sisi tunastahili nafasi ya kwanza tu, hizo nyingine mugombee nyinyi vibonde.
Nyinyi mnastahili nafasi ya kwanza? Recruitment yenu mbovu, benchi la ufundi bovu, kocha mbovu.
Hapo mlipo mnatoka.
Saka anauwasha moto wa kifuu mkuu,yaani hili chama hili we acha tu, hazina zimejaaKwa hiyo Luiz na Willian ndio inakuwaje sasa, ile sio mizigo kweli wakuu?
Una nafasi peponi ubarikiwe mno.1st goal. LacazetteView attachment 1662556
Una nafasi peponi ubarikiwe mno.
Tunashukuru sana mkuu kuliona chama linapata ushindi kwa mara nyingine tenaNichukue nafasi hii kuwapongeza wanaasernal wenzangu wote kwa ushindi wa ugenini tuliopata jana.
Mnajua wakati tulionao kwa sasa hakika lazima tufurahie ushindi kama huu.
Mungu awabariki sana washika bunduki wenzangu.
We are the gunners forever.
Mari, Gabriel, Holding na yule dogo mfaransa nadhani wanatosha kabisa pale nyuma.Pablo Mari mwamba wa kiespaniola
Unaweza shangaa mechi ijayo unamkuta David Luiz na MustafiMari, Gabriel, Holding na yule dogo mfaransa nadhani wanatosha kabisa pale nyuma.
Nilisema arteta hana jipya, uwezo wake wa kujenga timu umefikia mwisho. Something needs to be done quickly
Tunashukuru sana mkuu kuliona chama linapata ushindi kwa mara nyingine tena
Gunners for life..
Mushaanza tambo tayari.Stats zinasema Mari alitoka njia yake na kwenda kupiga a shot on target juzi dhidi ya Brighton. Beki mwingine ambaye anaweza kucheza 1 2 na mkaenda kufunga na au akafunga ni Sergio Ramos wa Madrid.
Nilivyoona alichofanya Mari nikajiuliza kama yupo njiane kuelekea kua completed player. Tukiulizwa completed player tutamtaja messi na ronaldo na tutasema jinsi wanascore, clinical finishing na skills za kudribble n.k ila hiyo inawafanya wawe completed forwad na completed striker respectively.
Completed player ni kama Ramos, anakukaba akiambiwa akabe, anakufunga akitakiwa kukufunga. Historically tuna Gentle Giant, kuna mechi alikua anachezeshwa beki na zingine anawekwa forward na anaperform kwa kiwango kilekile.
Kwa sasa haina kupinga kwamba Bukayo Saka ni completed player, amecheza kama beki wa kushoto kwa kiwango, amecheza kama winger wa kushoto kwa kiwango, amecheza kiungo kwa kiwango na sasa anacheza kama winger wa kulia. Na anaperform vilevile.
Ile shot ya Mari imefanya nijiulize kama Mari ndipo anapoelekea, kama ni ndiyo, then yupo kwenye klabu salama na Arsenal ipo kwa mchezaji salama.