Aliyesuluhu na Liva anaongozwa nne bila
HII TIMU KWA KWELI INATIA HURUMA. LAKINI KWA NJIA YOYOTE HUWEZI UKAWATEGEMEA WATOTO HAWA KINA SAKA SIJUI ROWE, ELNENY ETI NDIO FIRST ELEVEN!!!! WE ULISIKIA WAPI?Vipi huko?
Namkubali sana Rowe, Martinel na Saka!../Huyo Rowe ni suala la muda.. Nimeanza kumfuatilia misimu miwili nyumaRowe na Mari pale kwakweli Arsenal wanahazina
Sam baada ya suluhu aliongea hata muda haujapita watu wanamnyoosha, approach ya kulay low na kuamka second half imebounceHata huyu mnayecheza naye alisuluhu pia, walipata penati saa mbovu game ikaisha sare.
Ila daniel james na viande wenzake ndiyo first eleven au siyo?HII TIMU KWA KWELI INATIA HURUMA. LAKINI KWA NJIA YOYOTE HUWEZI UKAWATEGEMEA WATOTO HAWA KINA SAKA SIJUI ROWE, ELNENY ETI NDIO FIRST ELEVEN!!!! WE ULISIKIA WAPI?
Sam baada ya suluhu aliongea hata muda haujapita watu wanamnyoosha, approach ya kulay low na kuamka second half imebounce
Zimefika 5 hukoAliyesuluhu na Liva anaongozwa nne bila
Beki ya leeds mbovu kwa kaunta na Kane na son wameimudu hiyo ishu siku hizi.Liverpool hawakumpelekea moto, Leeds moto wao hata azuie vipi lazima wamtoboe.
Mechi ijayo Leeds na Tottenham, sijui itakuwaje kwa Mou.
Ata sare poa tu.
Nikachukue elfu 50 yangu Mamamamaeee Arsenal next vs West Bromwich nkifungwa nauza gari langu Mamamamaeee kwa sasa ni mwendo wa point 3Nimeweka dau na jirani yangu leo Brighton akinifunga nampa Girlfriend wangu
mwanzo mwisho