Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Top gani unaizungumzia mkuu. Nyie maeneo yenu ni hayo hayo mid table, pale top six kwa chini kidogo. Jana ni kwamba tuliwaombea mshinde kwa kuwa hatutaki kuona mnafukuza kocha maana ndiyo mtazidi kujivuruga.

Mambo ya top tuachieni sie na hao Looserpool. Wiki mbili hizi tumeinama kidogo kurekebisha baadhi ya sheria naona watu washaanza kujisahau. Wameanza kukichezea kiti!

Wapi pongezi zetu Chief? Hebu fanya kutupongeza kwa kuwashushia kipigo kikubwa, na Jana bila zile kosa kosa tulikuwa tunawafunga goli 5+
 
Sasa nyie muachiwe top ipi? Mna timu gani ya kukaa na kuwacheka Arsenal?
Sasa hivi tumeinama kidogo kurekebisha baadhi ya sheria ndogo ndogo. Sheria ya ulinzi wa kati wa kushoto LCB (Milan Skriniar) na sheria ya kiungo cha ukabaji nyumbulifu (Marcle Sabitzer). Baada ya hapo tunakiwasha mpaka mwisho wa ligi.
 
Wapi pongezi zetu Chief? Hebu fanya kutupongeza kwa kuwashushia kipigo kikubwa, na Jana bila zile kosa kosa tulikuwa tunawafunga goli 5+
Kwa mchezo wa jana nawapa salute. Kulikuwa na ambition, motivation, aggressiveness, determination, na kila aina ya kitu timu inahitaji ili kupata matokeo kwenye mchezo muhimu kama ule.

Jana mlikuwa kazini, kongole kwenu.
 
Huo ndiyo uungwana Chief 👏👏👏
 
Itakua hukuona next comment ambayo nilisema.

Sofascore ilionyesha tunacheza 3 4 3 na emile acheze kama rwf ila saa hii inaonyesha ni 4 2 3 1 huku emile akicheza namba natural kwake.
Basi sikukufuatilia vzr lkn jana nilivyoona kile kikosi kilinipa matumaini ya kushinda tena zaidi nilivyoangalia livescore nikaona arteta kaja na mfumo wa 4 3 2 1 na beki kasimama Pablo mari. Ukweli niliamini tutashinda
 
Kuwaga na haibu basi japo kidogo.
We vichapo vilikuvuruga ukawa unachungulia tu humu.
Hayo sijui ya chaka mala network ni uongo mtupu.
No ni sikukuu ndio imenirejesha mkuu,nilikuwa porini huko network shida ila sasa sikukuu imenogeshwa na sisi kuwabandua goli 3 the blauzi
 
Ni yeye.

Gonga like tukutane kesho
IMG-20201228-WA0008.jpg
 
Aubameyang hakuanza juzi kwakua ametoka majeruhi Arteta hakutaka kurisk kama alivyofanya kwa Partey. So leo kuna uwezekani akaanza au akaanzia benchi.

Nafikiri kikosi kitarudiwa kama cha juzi. Gabriel ni confirmed ana corona so hawezi cheza, Luiz ana kesi na Arteta so hawezi cheza hivyo CB kuna chansi kubwa watakua Mari na Holding na kwingine kukawa kama ilivyokua.

Kwa Brighton namhofia sana Lamptey na Welbeck ila taarifa zinaonyesha Lamptey majeruhi so anabaki Welbeck. He is fast stronger enough to beat Holding na inexperienced Mari so Elneny na Xhaka wana kazi ya kutibua mipango kabla haijafika kwa Welbeck.

Wanacheza 3 4 2 1 so wanarely kwenye cross, through pass, counter just anything kitakachompa Welbeck upenyo wa kukimbizana au kutumia mabavu.

Arsenal tunaenda ugenini tukiwa tumetoka kumpiga Chelsea so tunaenda tukiwa na kujiamini kiasi chake which is a good thing. Tunahitaji same morale katika hii mechi kuhakikisha tunashinda.

Tutaona hiyo saa tatu.
 
Arteta anasema;

Nilikua naongea na rais wa Arsenal, Ken Frier, akaniambia huu siyo miongoni mwa misimu yetu mibovu niamini mimi. Nimekua hapa klabuni kwa miaka 70 huu ni msimu wetu mbovu kuliko yote.
 
Arteta anasema;

Nilikua naongea na rais wa Arsenal, Ken Frier, akaniambia huu siyo miongoni mwa misimu yetu mibovu niamini mimi. Nimekua hapa klabuni kwa miaka 70 huu ni msimu wetu mbovu kuliko yote.
Hahaaaaaaa
 
Arteta anasema;

Nilikua naongea na rais wa Arsenal, Ken Frier, akaniambia huu siyo miongoni mwa misimu yetu mibovu niamini mimi. Nimekua hapa klabuni kwa miaka 70 huu ni msimu wetu mbovu kuliko yote.

Hahaha, kama kazi yako ni open contract, hapo hapo unaandika barua ya ku-resign.
 
Back
Top Bottom