January imekuja tuone sokoni itakuajeaseno inahitaji wachezaji new 3 tu. ndo angalau itashinda ir draw 10 matches in row.
January imekuja tuone sokoni itakuajeaseno inahitaji wachezaji new 3 tu. ndo angalau itashinda ir draw 10 matches in row.
Km sikukuelewa vibaya basi jana baada ya line up kutoka ulionekana kutokubaliana na Smith - Rowe kuanza lkn naona baada ya kuona alichofanya umemkubaliNamna tumeshinda.
Penati.
Faulo.
Chip shot.
As usual with chances hua tunapiga shots na kila kitu ila tatizo kuconvert hizo shots kua goals. Ushindi wa penati na faulo siyo kipimo cha kiasi gani timu inaweza kucreate na kuconvert chances kua goals.
Angekuepo Auba au Willian ile faulo ya Xhaka wangegewa hao. Na pengine wangemiss au wangepata vyovyote iwavyo siyo namna ya timu kupata ushindi.
Tunatoka hapo tunakutana na Brighton na West Brom hizi timu ndiyo zile ambazo zinapiga ile kupaki basi so kama hatuwezi convert chances this simply means kwa hizi timu mbili hata tukishinda itakua ushindi mwembamba.
Emile itabidi aendelee kuchezeshwa. Hatuna AM na yeye ndiyo AM tuliyenaye kwa performance ya jana Tierney, Emile na Saka ni deal poa.
Mari, Holding na Gabiriel wanaweza kua regulars ukiconsider Arteta kashaapia kumpoteza Luiz. Kama tutaopt mabeki watatu then my suggestion stays kwamba iwe 3 4 1 2 isiwe 3 4 3.
We did something kiukweli.
Nilipenda sana ile faulo ya Xhaka... Ila ile chop ya Saka nilipenda zaidi kwani ilifanya wajiamini zaidiNamna tumeshinda.
Penati.
Faulo.
Chip shot.
As usual with chances hua tunapiga shots na kila kitu ila tatizo kuconvert hizo shots kua goals. Ushindi wa penati na faulo siyo kipimo cha kiasi gani timu inaweza kucreate na kuconvert chances kua goals.
Angekuepo Auba au Willian ile faulo ya Xhaka wangegewa hao. Na pengine wangemiss au wangepata vyovyote iwavyo siyo namna ya timu kupata ushindi.
Tunatoka hapo tunakutana na Brighton na West Brom hizi timu ndiyo zile ambazo zinapiga ile kupaki basi so kama hatuwezi convert chances this simply means kwa hizi timu mbili hata tukishinda itakua ushindi mwembamba.
Emile itabidi aendelee kuchezeshwa. Hatuna AM na yeye ndiyo AM tuliyenaye kwa performance ya jana Tierney, Emile na Saka ni deal poa.
Mari, Holding na Gabiriel wanaweza kua regulars ukiconsider Arteta kashaapia kumpoteza Luiz. Kama tutaopt mabeki watatu then my suggestion stays kwamba iwe 3 4 1 2 isiwe 3 4 3.
We did something kiukweli.
Itakua hukuona next comment ambayo nilisema.Km sikukuelewa vibaya basi jana baada ya line up kutoka ulionekana kutokubaliana na Smith - Rowe kuanza lkn naona baada ya kuona alichofanya umemkubali
Umerudi?
Ushaanza dharau.Mimi nilisema vibonde wetu ni wawili man u na chelsea hawa hua hatuwaachi
Mukifungwa game moja tu munapotea humu.Mimi ni Asanali damudamu
We mwenyewe haufai kuwa shabiki.
Hapana. Mbona hili hua nalisema kitambo tangu enzi Emery amekuja Arsenal.Ushaanza dharau.
Nilitegemea kukuona leo.Ndio ligi tumeanza rasmi
We mwenyewe haufai kuwa shabiki.
Shabiki gani timu ikifungwa anaikimbia?
Aendelee kupost pumba zake za Chelsea
Mzee wa kukimbiza kimya kimya, naona mlikaribia kumfikia mwizi mkaanza mayowe.
Mwizi kawaacha tena.
No ni sikukuu ndio imenirejesha mkuu,nilikuwa porini huko network shida ila sasa sikukuu imenogeshwa na sisi kuwabandua goli 3 the blauziUshindi huu lazima mtu kama Dully Jr arejee.
Ongereni kwa kutukamatia mtu shati

Yaaah lazma tuwape tabuUshindi huu lazima mtu kama Dully Jr arejee.
Ongereni kwa kutukamatia mtu shati
Mwizi inavyo onekana anatumia watu kunivuta shati.
Ila leo mwizi kakatiza WBA, kumbuka huo mtaa ni wawalala huo, hivyo miundo mbinu ya njia yao sio mzuri.
Njia ina matope na vidimbwi vya maji ya mvua, hivyo lazima mwizi aanguke.
Kuinuka na kujifuta matope tayari nitakua nishamkaribia.
Kwahiyo bado sijakata tamaa ya kumkimbiza mwizi.
Nina imani mpaka kufika mwishoni mwa mwezi wa pili nitakua nishamkamata na kumpukutisha kila kilicho changu.
Top gani unaizungumzia mkuu. Nyie maeneo yenu ni hayo hayo mid table, pale top six kwa chini kidogo. Jana ni kwamba tuliwaombea mshinde kwa kuwa hatutaki kuona mnafukuza kocha maana ndiyo mtazidi kujivuruga.Mechi yetu ya Jana dhidi ya Chelsea imetuonesha Morale ya timu imeanza kupanda hasa baada ya kuwatumia wachezaji vijana akina Smith na akina Martinel.
Timu ilipambana hadi nikahisi huenda wachezaji experienced akina Auba, Willian and the likes wanamuhujumu kocha au ni Fatigue ya kucheza michezo mingi pasipo kupumzika.
All in all we are back, and hope our wins yesterday will going to elevate our momentum to the next fixtures.
Let's meet at the top![]()