Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Duh tumekosa la 4
ndio timu zenye makocha ambao hawakulelewa kisoka la ufundishajiMimi nilisema vibonde wetu ni wawili man u na chelsea hawa hua hatuwaachi
Sub zimeipa uhai sana ChelseaArteta unampendea nini willock?ana kitu gani cha ziada?why?
Yani willock na pepe walikua wanauza mechi. Arteta ajiangaliee sanaArteta unampendea nini willock?ana kitu gani cha ziada?why?
Daah ngoja niongeze Castle Lite BariiiiiiidiLeo raha ...
Umekubali au bado unabisha?Ulichoongea sizani Kama kinatoka moyoni.
Kunywa za moto ndio nzuri nakuja hapo ulipo.Daah ngoja niongeze Castle Lite Bariiiiiiidi