Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lile deni nililo kua nikidaiwa na Tottenham nimelilipa huko.
 
Ndugu yangu haya tulishayasema na kwa nionavyo yatazidi kujidhihirisha tu
 
Nimekuelewa hapo kwenye hilo $&%*#@ uongozi. Cheki screenshot hiyo

 
Hahahaahahahahahah

Jombaa timu yetu tumevurugwa. Huku washabiki tumevurugwa balaa eti Leo ozil amekuwa hafai kwa mchuzi wala kwa kachumbari
 
Hahahaahahahahahah

Jombaa timu yetu tumevurugwa. Huku washabiki tumevurugwa balaa eti Leo ozil amekuwa hafai kwa mchuzi wala kwa kachumbari
Yaani acha kabisa... Mimi mwenyewe nilimjibu mshikaji bila hata kuangalia wamefikishanaje hapo na mwenzie.

Hakika huu mwaka bora uishe tu

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Naweza amini, kwa vipigo Arsenal mnapokea ni rahisi shabiki kuwa confused na asielewe chochote
Hapana. Ulivyoanza kuandika ni kama vile ulikua unataka andika hoja kisha ukashikwa na uchungu ukahama hoja ukaenda kwingine uchungu ukakuzidia kisha ukaona uhitimishe bila kueleweka.

Kama unaina umeandika inavyotakiwa hebu toa wazo kuu la post yako.
 
Hatimaye nimeelewa ni kwa nini Ozil aliondolewa kwenye kikosi. The Arsenal I knew wouldn’t have put itself in a position where a player is able to tweet after a game, hinting at division and undermining the manager, as Ozil has done. I believe arteta was angered by this. msitafute mchawi. Na hizo ndio footballing reasons
 
Mimi sio shabiki wa arsenal but this is bullshit..
Internet coverage yoote ya leo umeshindwa kusaka reasons za ozil kuzinguliwa
 
The race for the PL golden boot

1. Salah - 13 goals.
2. ARSENAL - 12 goals.
3. Heung min Son - 11 goals
4. Calvert Lewin - 11 goals.
5. Vardy - 11 goals.



Salah watch out Arsenal
 
melii ya wagiriki naona inazama kwa kasi kabisa
nawakumbusha next game man city then chelsea

punda kakimbia risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…