Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona Dully Jr umekuja ki vingine
 
Leaked next season Arsenal fixtures

Arsenal Vs Wycombe Wanderers
Coventry City Vs Arsenal
Rotherham United Vs Arsenal
Arsenal Vs Luton town
Barnsley Vs Arsenal
Derby county Vs Arsenal

Mshindwe na mlegeee!!
 
kuitwa kuwa "wewe ni shabiki wa aseno, ni tusi kubwa mno"

hii record wanayotaka kuivunja Arsenal haijawahi kutokea tangu apande daraja
 
Tatizo sio Ozil, tatizo ni timu/aina ya wachezaji anaocheza nao. Kazoea kucheza na players wenye viwango vya maana.
 
Mkuu hapa unatudanganya sasa.. Timu zinabadili mifumo ya kiuchezaji kila kukicha na zinatumia wachezaji wale wale, timu zinabadili makocha na kila kocha anakuja na tactics na mfumo wake na wachezaji ni wale wale,, wachezaji wanahama kila kukicha tena wakiwa na umri mkubwa tu na timu wanazoenda zina mifumo na tactics tofauti... Kwani huyu ozil yeye ni jiwe?? Wewe sema kakutana na wachezaji hawajielewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…