Kinumbo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 3,188
- 5,810
Msimu ujao utakuwa Championship ukipambana kupanda ligi kuu.
Wewe Klop ulimtimua? Au alivyokuja msimu wa Kwanza akabeba UCL?
Wewe Klop ulimtimua? Au alivyokuja msimu wa Kwanza akabeba UCL?
Mkuu pole na majukumu.Hivi ni wewe au????![]()
Mkuu sio yeye tu pekee, hata huku mtaani kwetu wameanza kufufuka.Naona sare ya jana imekurudisha mjengoni.
Yaaaah,ni harakati za kimaisha...Ila tabu ipo palepale nitawanyoosha tuMkuu pole na majukumu.
Najua harakati zinakufanya upotee humu, si kitu kingine.
Hii timu inahitaji kufumuliwa. Wachezaji wamekosa morali timu ina fighters wachache.I regard Arteta as one of the best promising young couch only with lack of/little managerial experience, despite all the odds against him ningetamani aendelee kuifundisha Arsenal.
Tatizo ni kwamba football sometimes ni moja ya projects ambazo zinakupima kwa matokeo tu, ukiitazama Arsenal for the past decade and a half, utagundua imekuwa na changamoto endelevu na zenye kushika mizizi season after season.
Kuna mdau huko juu aligusia jinsi club ilivyoanza kuporomoka under Wenger toka kuchallenge ubingwa na kuwa regular top 4 club na miaka ya mwisho ya Wenger hata kushiriki Uefa ikawa utata. Ilifikia mahali players wanaforce kuondoka wakiamini pale hakuna nia thabiti za kushinda mataji.
Arteta amepewa kibarua cha kutatua hizi changamoto za muda mrefu na huku akiwa hana experience, ilikuwa hivyo kwa Emery tofauti kidogo yeye alikuwa na managerial experince lakini pia naye angehitaji muda kuzitatua.
Sio kazi rahisi sana hasa kwa kipindi hiki, unazungumza kipindi ambacho Liverpool aliyekuwa 'amelala' yupo on fire, kipindi ambacho Man City anawaburuza kina Madrid, kipindi ambacho Spurs ni title favourite, kipindi ambacho Leicester anapigania top 4, kipindi ambacho Everton inahire kocha wa calibre ya Ancelotti, kipindi ambacho una 'stubborn boys' kama Wolves, Westham na Palace.
Liverpool pia walipitia hizi changamoto na iliwachukua zaidi ya miaka 25 kupata mtatuzi sahihi (Klopp), Man U nao wapo tulipo na so far si Moyes, Van Gaal, even Mourinho na sasa Ole anastruggle pia. Watazame Chelsea pia waliji establish under Mourinho lakini since then wamekuwa na mapito kibao.
Pamoja na yote hayo bado narudi kwa Arteta:
Akiwa kocha 'aliyefundwa' na Guardiola (muumini halisi wa attacking football), nikiitazama Arsenal ikicheza sioni hizo falsafa ndani yake.
Ukiitazama timu ya Pep utaona kuna tofauti kwenye transition, movement na attacking style na ile ya Arteta.
Tofauti ya Arteta ni kuwa hawapi wachezaji freedom ya kumove kwenye open pockets ili wapokee mipira na kuwapa mabeki wa timu pinzani ugumu wa kukaba kutokana na players kuwa kwenye constant motion kutafuta open pockets na hivyo kuwatoa kwenye maeneo yao na kuacha mwanya kupiga mashuti ama penetration passes.
Style anayotumia Arteta inawapa kazi rahisi mabeki kukaba players ambao wako stationary na hivyo kufanya hata washambuliaji wa Arsenal kusaidia kulinda lango pinzani kwa kuwa huwezi piga penetration wala shuti kwenye ule msitu, mbaya zaidi anang'ang'ania kutumia crosses wakati tatizo ni hilo hilo (msongamano) ndio maana tunapiga cross nyingi na zinazofika ni chache na haziwi converted kuwa magoli.
Arteta akibadili hapo trust me, haitaji mechi mbili mbele anaanza kushinda kiulaini tu.
Kuna wadau huko juu wanapiga kelele arejeshwe Ozil, maoni yangu ni kuwa hata aje Messi kwa attacking style yetu mtamtukana pia.
Yees, we need an attacking midfielder but not Ozil. Ozil alikuwepo years back na kila tukibanwa yeye ndio namba moja alikuwa flop kwenye mechi husika, kwa mtu anayejua kuanalyse game Ozil ni very poor tactical player. He has got great talent, but it's very unfortunate that his talent has blinded himself, labda tu anahusishwa kwa kuwa yuko bench pale na analipwa rundo la mshahara ila Ozil is even part of the problem with his bench warming status.
Nani anaanza leo? Ighalo au Cavani?Mkuu sio yeye tu pekee, hata huku mtaani kwetu wameanza kufufuka.
Tena watarudi wengi, itapo tokea Manchester United akafungwa leo (japo hilo swala ni sawa na kunguru kunyea mbingu )
Kwani tumepinda?Yaaaah,ni harakati za kimaisha...Ila tabu ipo palepale nitawanyoosha tu
Uliza tunashinda ngapi?Nani anaanza leo? Ighalo au Cavani?
Kwahiyo hautaki Ighalo aanze?Uliza tunashinda ngapi?
Cavani leo lazima aingie kuwa weka.


Kwa issue ya Torreira na wenzie sina shida yafaa waondolewe, ndio maana nikasema matatizo ya club hii yamekita mizizi kwa muda mrefu sasa ikiwemo kuwa na avarage players wengi sana kitu kinachoifanya timu pia averageHii timu inahitaji kufumuliwa. Wachezaji wamekosa morali timu ina fighters wachache.


Nadhani uko sahihi kwenye hili pia, mtazamo wangu hauko mbali na wako. Kocha apewe muda aweze kujenga structure na philosophy ya timu ambayo ndiyo itaamua ni wachezaji gani tusajili.Tulilaumu Torreira kwenda Atletico lakini Atletico wanataka kukatisha mkataba wa mkopo na Torreira as hajafikia matarajio yao
Huyo ni ambaye hata timu ya nje imeona unadhani wamebaki wangapi pale ambao wanakula mshahara ila jezi ishakua nzito?


Am telling you kikosi chetu kama kingekua na wachezaji 7 wa nafasi tofauti wanaojituma kuna mechi zisingekua zinakuja na disappointments.
Tatizo la Arsenal siyo kocha. Mara nyingi ninasema hivyo hata kipindi cha Wenger kocha hakua tatizo. Kama tutaweza uza/ release angalau wachezaji 5 tukapata wapya tutafanya turn around nzuri tu.
So yeah Arteta abaki atimiziwe mahitaji kisha tuone.
Inabidi tukutane watu wazima tuendeleze ule uhusiano wetu wa kuuziana wachezaji kama kawaida yetu.Kwahiyo hautaki Ighalo aanze?
Ighalo hamfikii hata NketiahInabidi tukutane watu wazima tuendeleze ule uhusiano wetu wa kuuziana wachezaji kama kawaida yetu.
Nikuuzie Ighalo, uniuzie Aubameyang, maana hawa wote ni vimeo msimu huu.
Ighalo hamfikii hata Nketiah
Inabidi tukutane watu wazima tuendeleze ule uhusiano wetu wa kuuziana wachezaji kama kawaida yetu.
Nikuuzie Ighalo, uniuzie Aubameyang, maana hawa wote ni vimeo msimu huu.


