Arsenal (The Gunners) | Special Thread

City kashawapiga so subili round ya pili tukuone


Kila nikiangalia Next game sioni Kama mnaweza kutoka na Point 3

Saton ni wakali,bora ukutane hata na Man utd, sio hao viumbe
 

Kazi kubwa za mshabiki ni mbili tu, kushangalia na kuzomea.

Hili linafanyika bila kujali kwamba unaowazomea wako kwenye hali uliyopitia au utakayokuja kuipitia. We enjoy the moment.

Najua hamtashuka daraja, lakini kuwaza eti mkirekebisha vitu mtaingia top 4 ni kichekesho Cha muda wote.
 
Fanya analysis ya kikosi chetu mchezaji mmoja mmoja dhidi ya kikosi chenu cha Chelsea kwa mchezaji mmoja mmoja, utaona namna ambavyo tulivyowazidi.

Sisi sio level yenu Chief
timu bora n ile timu inayokupa matokeo, unaniambia VP unawachezaji bora kuliko wangu ikiwa hakuna forward yako inayomzidi zouma kwa magoli ya kufunga🚮
🚶🚶🚶🚶
 
Nilopoona Arsenal wanashangilia kushindwa na City kwa kufungwa goli chache

Hapo ndipo nilijua kwamba Arsenal ni timu ya level gani
 
Kumbuka Sunderland yalimshinda nasasa yuko ligi daraja la 3 huko.
 
Sasa hapo kigeni nini Chief? Anayeongoza ligi ametuacha almost point 13 ambazo ni mechi 4 maximum. Kwenye ligi ya EPL unaweza kuta tukatoboa
 
City kashawapiga so subili round ya pili tukuone


Kila nikiangalia Next game sioni Kama mnaweza kutoka na Point 3

Saton ni wakali,bora ukutane hata na Man utd, sio hao viumbe
Mkuu nategemea mechi yetu ya Jana uliiona kabla Xhaka hajapigwa red card

Nikuhakikishie mechi ya Soton tunashinda na kubeba point 3
 
Mkuu hata New Castle ilikuwa timu kubwa na ilishuka daraja. Msipochukua hatua madhubuti mtashuka Asenane nyie.
Uko sahihi chief, mapungufu ya timu yetu yanajulikana. And I hope management inayafanyia kazi kwani ikitokea timu ikashuka daraja hata wao itawathiri kwani wanalipwa mishahara na bonus kutokana na performance ya timu.

Binafsi naamini tumejikwaa, kwahiyo tutasonga mbele
 
Sasa hapo kigeni nini Chief? Anayeongoza ligi ametuacha almost point 13 ambazo ni mechi 4 maximum. Kwenye ligi ya EPL unaweza kuta tukatoboa

13 points siyo mechi 4 maximum, mechi nne ni 12 points.

Arsenal hawezi kushinda game 5 halafu Tottenham na Liverpool wapoteze 5 kila mmoja.

Kwenye hesabu kuna kitu wanaita extrapolation:

Tottenham/Liverpool wana points 25 kati ya 36 (12 games points). Nyie Arsenal mna 13 points out 36.

Mechi 38 ukishinda zote max points ni 114.

Sasa ukifanya hiyo extrapolation unapata:

Tottenham/Liverpool: 25/36 x 114 = 79.

Arsenal 13/36 x 114 = 41.

On assumption kwamba kila kitu kitaenda kama kinavyoenda.

NB: Kwa mahesabu hayo hapo juu, simwoni Arsenal akivusha points 56 kwa michezo iliyobaki.
 
Poleni sana Acheno naona hadi Auba anawageuka,
Msimu huu cha moto mtakiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…