Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jibu ni kuwa Kroenke hata kama unasema hajatoa hela but wachezaji almost 90 percent wanataka kuchezea Arsenal because ni big club kiujumla Kroenke hachezi uwanjani wanaocheza wanalipwa mishahara na kila kitu wanachokitaka wanapata but kwa nini hawaperform?kwangu ni Arteta ndio Zumbukuku hayo ya Kroenke tusimseme sana mapaund yametolewa kwa Gabriel Partey Pepe Auba Lacazette but nothing on the pitch hata kama unavyodai hajatoa yeye but yametolewa na that's why wachezaji hao wapo Arsenal

Uamuzi wa kumuacha Saliba ,Ozil Martineli nayo pia ni kroenke?May be I don't know
 
Hii timu imejiendesha kwa pesa zake miaka yote tangu anaanza imiliki mpaka leo.

Kwani msichoelewa hapo ni kipi?

Yeye kama mmiliki anaruhusu matumizi yafanyike lakini ni matumizi ambayo timu imezalisha.

Sijui mnaelewa hapo?

Kisha baada ya kuona ugumu tangu Wenger aende na Emery afukuzwe mwezi uliopita kampuni yake nyingine imeingia ubia na Arsenal.

Hii kampuni inatarajiwa kutoa pesa ya usajili na hii pesa haitahesabiwa kuvunja FFP kwakua itahesabiwa imetoka ndani ya Arsenal.

Yaani ni kwamba kwa mara ya kwanza Kroenke anataka kutoa pesa nje na ambayo timu inazalisha. This time akifanya hivyo ndiyo tutaanza kusema Kroenke ametoa pesa ya usajili.

Ni wapi hamuelewi nyinyi watu??????

mysterio na wenzako
 

Ngoja nikupigie link
 
Me naona ungekunya kabisa tuu kuepusha usumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…