Wakuu hii timu inaelekea pabaya sana
Arteta hana uwezo wakuinoa Arsenal msifarijiane hata kidogo .
-Huwez niaminisha Kuwa SOTON anakikosi kizuri kuliko ARSENAL
Yaani Arsenal haina kikos cha kustruggle kiasi hiki hata kama wabovu kama tunavyoaminishana . Walimu mnao wachukua sio sahihi kabisaaaa