Sijawahi kukimbia uzi mzee, ni majukumu ya kikazi tu sometime unakuwa ktk mazingira ambayo so rafiki na social networks ..Aisee mpaka leo dully na genge lake wamekimbia
Sijawahi kukimbia uzi mzee, ni majukumu ya kikazi tu sometime unakuwa ktk mazingira ambayo so rafiki na social networks ..
All in all
Everton 1 Cheltako O
Tuishi humo Kwanza,
Hzo nyingine zote kelele
Niliacha Bayern anaongozwa na Koln jana mpaka dakika ya 56.
Atletico kapigwa 2 mtungi na Madrid ambayo imebakwa na Shakhtar nje ndani na ikasuluhu na Monchengladbach.
Inter kashindwa kusonga mbele UCL na kashindwa hata kujitetea na kuja Europa. Man u kaja europa kwa kufungwa na timu ambayo mwanzo aliifunga tano bila na alipigwa na amateurs wa Uturuki.
Liva hali mbaya mpaka wanaomba VAR iache kutumiwa ni kama vile wamesahau jinsi ilivyowasaidia kuwapa kombe.
Jana Everton kaipiga chelsea watu wamesambaratika kwenye uzi wao.
Arsenal tunaenda kucheza na Burnley with all of our shortcomings. Ni game ngumu as tulipofikia sasa hivi ni kila game kwetu ni utata tutamiliki mpira ila kucreate na kuconvert chances into goals imekua mtihani.
Anyway, naamini tutapambana. Imeshakua dhahiri kwamba ukicheza na Arsenal, paki basi piga kaunta paki basi, kama Jose na Spurs so nafikiri ndiyo itakavyokua na Burnley.
Unless they got cocky na kuamua kwenda nasi ng'adu kwa ng'adu then hapo tutakua tumejipatia namna ya kusecure points tatu.
Huu ushindi tunauhitaji. Ili wanakondoo waliopotea warudi.
Wewe tulishakupa dozi wenzako wanajifanya jeuri ila dawa italambwa tuSema mkuu una roho ngumuuh! Yani kwa roho hii unaweza kulala na maiti kitanda kimoja na sigara ukawasha.
Umebaki peke yako kwenye uzi huu, wenzako wote akina AronArsenal, Dully Jr wote wa nachungulia tu.
Lakini mzee wa kazi huna wasi wasi, mishipa ya shingo ime kutoka kutetea timu yako.
Ongera sana, mungu anakuona.
Huku Europa tukikutana huponi bro.Huyo ni popoma tu.
Anavizia timu flani kubwa ifungwe ndio atokee.
Mfano jana Chelkengenge imefungwa, lazima utamuona humu na povu kama lote.
Kitoabu umetuacha kwenye mataa kwenye uzi wetu pendwa wa MsumbijiSema mkuu una roho ngumuuh! Yani kwa roho hii unaweza kulala na maiti kitanda kimoja na sigara ukawasha.
Umebaki peke yako kwenye uzi huu, wenzako wote akina AronArsenal, Dully Jr wote wa nachungulia tu.
Lakini mzee wa kazi huna wasi wasi, mishipa ya shingo ime kutoka kutetea timu yako.
Ongera sana, mungu anakuona.
Sindio kama nime kupa lana.Wewe tulishakupa dozi wenzako wanajifanya jeuri ila dawa italambwa tu
Huku Europa tukikutana huponi bro.
Wewe unapigwa na Basaksehir unakuja kusema kufungwa na Arsenal ni kunguru kunyea manati? Ngoja sasaNdugu yangu usiombe mechi na mimi nyakati hizi (japo sipo vizuri kiviile) ile siku ni kama kunguru alinyea manati.
Ila tuwe serious tuelekezeni kwa mganga wenu maana mpo mpo tu hamna hili wala lile lakini mara mnashinda hebu tupeni siri.Sindio kama nime kupa lana.
Maana tangu uniotee siku zile, haujawahi kupata points 3 tena kwenye ligi.
Leo naomba tu mufungwe ili mjengoni kuwe na heshima.
Sema mkuu una roho ngumuuh! Yani kwa roho hii unaweza kulala na maiti kitanda kimoja na sigara ukawasha.
Umebaki peke yako kwenye uzi huu, wenzako wote akina AronArsenal, Dully Jr wote wa nachungulia tu.
Lakini mzee wa kazi huna wasi wasi, mishipa ya shingo ime kutoka kutetea timu yako.
Ongera sana, mungu anakuona.
Leo tuna kazi.
Kuna majamaa yanajiandaa kuja kuvamia uzi.
Hizi thread zinaleta mvuto wa kishabiki, yaani timu yako inacheza halafu unakuwa unawaza tukifungwa itakuwaje kwenye thread.
Tottenham ameshasevu, bado sisi na nyie leo.
Mkuu leo game yetu ni saa ngapi?
Saa nne na roboMkuu leo game yetu ni saa ngapi?