Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Upinzani wa jadi kwa Spurs na Arsenal ni wa moto kuliko hata kwa Chelsea.

Halafu Chelsea mpinzani wake ni Fulham kuliko hata hao wawili.

Si unaona Adebayor anavyosahauliwa na Arsenal kwa kwenda Spurs wakati Cole kwenda Chelsea siyo big deal sana.
 
Wapinzani wetu wakubwa ni mabingwa wa UCL Bayern, Barcelona, Madrid. London yote hakuna level yetu kwenye ushindani wa aina yetu.
Ujue wewe sometimes unakua kama unaandikia watoto.

Chelsea ina ucl ngapi?

Uliowataja wana ucl ngapi?

Yaani liva tu hujamfikia unataka ukajipeleke kwa wanaume huko nje?
 
Upinzani wa jadi kwa Spurs na Arsenal ni wa moto kuliko hata kwa Chelsea.

Halafu Chelsea mpinzani wake ni Fulham kuliko hata hao wawili.

Si unaona Adebayor anavyosahauliwa na Arsenal kwa kwenda Spurs wakati Cole kwenda Chelsea siyo big deal sana.
Chelsea mpinzan wake ni Fulham jpo Derby yeny vurugu upnde wa Chelsea ni na West ham vs Chelsea
Arsenal na spurs kihistoria ndo derby kubwa kwa London
Coz wote wantok north London

Chelsea yeye akichez na spurs au arsenal inkuw derby kubwa sababu ya hizi timu kuwa kubwa ila kiuhlsia ilbd Chelsea na Fulham
 
Too early to start celebration when almost every team has played 11 out of 38 games. I strongly believe things will shortly change. Those at the peak of celebration will eventually be filled with despondency.
 
Yea. Terry alionyeshwa alama ya dole la kati na baba yake siku chelsea anacheza na west ham halafu akascore akawa anashangilia
 
Hizo game hazikupi picha sahihi ya uwezo wa Tottenham, ingawa hiyo siyo sababu ya kuamini kuwa atachukuwa ubingwa.
 
Too early to start celebration when almost every team has played 11 out of 38 games. I strongly believe things will shortly change. Those at the peak of celebration will eventually be filled with despondency.
Prophets of doom
 
Hizo game hazikupi picha sahihi ya uwezo wa Tottenham, ingawa hiyo siyo sababu ya kuamini kuwa atachukuwa ubingwa.
Wewe hauna imani na tottenham una imani na mourinho. Arsenal aliongozwa na Rapid Vien kocha akaokoa jahazi tottenham alivyoongozwa kocha akajaribu kuokoa jahazi ila nini kikaendelea?
 
Kwa marcel bielsa sawa anaweza akawa anafanya hvyo tena tokea alipokuwa championship na hata KWA sasa premier league baada ya kuja...lkn huo utaratibu czani km umewahi kufanywa na makocha wengine wa epl ....We kubali umetoa boko tu. Mzeee...yaan unauliza starting eleven game kati ya spurs na arsenal asubuhi yaaan asubuhi ..hahaaahaaaa hii kitu ni mpya walai
 
Joined 2020 July

Probably you were born in 1996

Ñdio maana hata uwezo ulio nao ni wa kitoto Sana

Siku hiyo harufu ya maziwa uliyonayo mdomoni ikiisha tutajadiliana.



Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Bob ni kwamba siyo sheria kwamba kutangaza kikosi kuwe saa moja kabla (na huu ndiyo utaratibu timu nyingi - siyo zote - wanautumia) mfano RB Leipzig wanatangaza kikosi wakiwa tayari kwenye dressing room dakika 45 kabla ya game.

Kuna siku Arsenal tukiwa Europa hatukuona kikosi insta mpaka tulivyoingia uwanjani. Nafikiri ndiyo siku ambayo Insta ilionekana Luiz yupo nje ila kwenye mechi akacheza.

So mdau alipouliza kikosi muda ule kuna namna ambayo jibu lako lingeonyesha kua huo siyo utaratibu kwa hizo klabu. Sasa ulivyopinga ndiyo imekua vita ya kila mmoja kumuona mwenzake hajui mpira.
 
My gooner please don't waste your brain cells to that obviously deranged pigheaded schlemiel.

Wewe ka mtu mwanzoni kamesema eti hicho kitu hakipo duniani tena kwa kujiamini, haya sasa hivi kwenye comment yake hapo kanasema "sidhani Kama imewahi" ina maana kumbe anabisha tu lakini hana uhakika na anachokibishia, Sasa huyu mtu ni mzima kweli!?

Ñdio maana nikaseama tatizo ni utoto na Kama sio utoto basi ana kichaa.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi durry Jr simuoni au ndio ameacha kufatilia mpira hakosi sababu atasema amehamia YOUNG KISA INAFANYA VZR
 
Asante KWA matusi yako mzee....inaonekana umejaa gesi.....ngoja nijaribu kuwa mstaarabu na nisitumie lugha zisizo ili aonekane MTU mzima nani na kichaa nani ....ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…