Mkuu inaonesha unauwezo mkubwa sana kiakilimkuu mimi ni shabiki wa united lakini kwenye top 5 yangu ya makocha nisiopenda style yao ya mpira kocha wa Arsenal anakua wa kwanza kabisa maana timu haieleweki inacheza nini mbele haipo kati haipo wala nyuma haipo sijui ipo kundi gani,kwasasa Arsenal wanatengeneza nafasi chache mno hasa kwenye mechi kubwa ndo haivutii kabisa kuitazama.hii hoja ya kusema timu haina wachezaji wa daraja la juu haina mashiko jambo la kujiuliza hizo timu zilizo juu yake zina wachezaji wa daraja la juu kuzidi Arsenal......tazama Chelsea kipindi haijasajili msimu mzima jinsi ilivyokua inacheza unaona kabisa kocha ana kitu ila wachezaji uwezo mdogo na mpaka sasa chelsea inacheza vilevile isipokuwa tu imeimalika kwenye baadhi ya maeneo.makocha watano nisiowaelewa kabisa mpira wao japokuwa baadhi wana mbinu ni (1)Arteta (2)Diego Simeone (3)Nuno ostadh (4)Olesendeka (5)Jose Mourinho ....... makocha 5 wanaonivutia mpira wao ni (1)Klopp (2)Pep (3)flick Bayern (4)Nagelsmann Leipzig (5)Lampard
Popote ulipo agiza supu ya moto mkuu nalipa kupitia PM yako, chini ya mfumo anaotumia Arteta hata tupate wachezaji wa kila aina bado hatuwezi kufika nchi ya ahadi kwa sababu kwenye timu yoyote lazima kuwe na wachezaji wa kila aina sababu wote wakiwa ma star pia ni tatizo....Arteta out!mkuu mimi ni shabiki wa united lakini kwenye top 5 yangu ya makocha nisiopenda style yao ya mpira kocha wa Arsenal anakua wa kwanza kabisa maana timu haieleweki inacheza nini mbele haipo kati haipo wala nyuma haipo sijui ipo kundi gani,kwasasa Arsenal wanatengeneza nafasi chache mno hasa kwenye mechi kubwa ndo haivutii kabisa kuitazama.hii hoja ya kusema timu haina wachezaji wa daraja la juu haina mashiko jambo la kujiuliza hizo timu zilizo juu yake zina wachezaji wa daraja la juu kuzidi Arsenal......tazama Chelsea kipindi haijasajili msimu mzima jinsi ilivyokua inacheza unaona kabisa kocha ana kitu ila wachezaji uwezo mdogo na mpaka sasa chelsea inacheza vilevile isipokuwa tu imeimalika kwenye baadhi ya maeneo.makocha watano nisiowaelewa kabisa mpira wao japokuwa baadhi wana mbinu ni (1)Arteta (2)Diego Simeone (3)Nuno ostadh (4)Olesendeka (5)Jose Mourinho ....... makocha 5 wanaonivutia mpira wao ni (1)Klopp (2)Pep (3)flick Bayern (4)Nagelsmann Leipzig (5)Lampard
Let's wait.You don't need to provide names of Ozil supporters, after all I am one of them, I appreciate what he does on the pitch, honestly I miss him. But the truth about his ommission remains to be told in black and white. It is time to take it
Hakuna cha kuvumilia ni ufala huo.Nadhani Pochetino anafundisha uchezaji unaoendana na philosophy ya Arsenal. Ila pia Arteta apewe muda, kwenye kazi kuna ups and downs.
Ninafikiri suala la Ozil siyo rahisi kama mashabiki wengi wanavyotaka. Tatizo la Ozil na mamlaka za China linamfanya asiuzike hata kwa klabu ya daraja la 3! Arteta hawezi kwenda straight kwani itazidi kuiweka Arsenal kwenye wakati mgumu zaidi. Sioni klabu yoyote ile ulimwenguni ambayo ingelihendo tatizo la Ozil tofauti na walivyofanya Astenoo.Arsenal had to know that ozil was their best creative midfielder, he had 1 year left from his contract and if they felt he doesn't contribute much to the team they could have let him leave once his contract ends.
They had to know that once Ozil was so loyal to this team, he could leave in 2018 just like Sanchez but Wenger and the board back then persuaded him to stay and he stayed. It was not okey to try and kick him out just like the way they wanted to do.
Lastly for arteta, he could come clean and not lie to arsenal fans that ozil was left for football reasons. There is a where majority of the fans do not understand and feel like arteta is just shit. How on earth would you leave ozil with hopes of playing willock and willian as number 10s????
Kashindwa kumfunga mdogo ataweza kwa kaka yake?Ili kuleta heshima, hakikisheni mnamfunga Chelsea
Unataka sema Spurs ni mdogo kwa Asteno? Hiyo ilikuwa way back 2004 sasa hivi ni tweny tweny na mambo yako like, ...Kashindwa kumfunga mdogo ataweza kwa kaka yake?
Tunaiga style ya uzi wa Liverpool, tunalenga kuwaondoa akina ollachunga wanaovamia uzi wetu na akili zao za darasa la sabaDuuh sahivi ni mwendo wa kizungu tuu humu? Arteta out Ozil in.......!!!!
Kufukuza kocha siyo issue. Issue ni picha kubwa inayoambatana na kubadili kocha. Timu inapobadili kocha inabidi ijue pia itapaswa kuingia kwenye mradi mpya wa usajili. Mfano mzuri ni Liverpool. Walipoamua kuingia kwenye project mpya (2015) walitafuta kocha anayeendana na wanachotaka. Wakaanza kumpa kikosi anachotaka taratibu.Arteta angeondoka tu, huenda timu ikashuka daraja watu wasipochukua maamuzi ya kiume. Huenda labda Freddie alikuwa bora zaidi ya Arteta.
Ndio maana kuna siku nilisema nyie malizaneni mjue nani ni mkubwa kati yenu then mniletee majibu kaka yenu.Unataka sema Spurs ni mdogo kwa Asteno? Hiyo ilikuwa way back 2004 sasa hivi ni tweny tweny na mambo yako like, ...
View attachment 1643812
Haaahaaaaa hapo Mkuu umenena....na mfano timu yako ya zamani sasahv inajificha kwenye kivuli cha historia tuKufukuza kocha siyo issue. Issue ni picha kubwa inayoambatana na kubadili kocha. Timu inapobadili kocha inabidi ijue pia itapaswa kuingia kwenye mradi mpya wa usajili. Mfano mzuri ni Liverpool. Walipoamua kuingia kwenye project mpya (2015) walitafuta kocha anayeendana na wanachotaka. Wakaanza kumpa kikosi anachotaka taratibu.
Imewachukua Liverpool misimu minne kuanza kuvuna walichopanda. Klopp hakuanza kupata mafanikio mpaka pale alipopata mchezaji wa mwisho aliyemtaka (kipa). Ungedhani kuwa Liverpool iko tayari kushindana baada ya kumsajili VVD, lakini bado kipa aliwaangusha. Walianza kutwaa mataji baada ya kuleta kipa ghali zaidi duniani wakati wakimsajili.
Angalia Spurs (japo wengi mnawadharau ila project yao ni master class). Baada ya kukamilisha project ya uwanja na kwamba project yao ya awali na Poch (ya wachezaji 7; akina Son, Dele, Kane, Lamela, Dier, nk) ilikwisha anza kuzeeka wakaamua kuingia kwenye project mpya ya kujenga kikosi.
Lakini walijiuliza ikiwa Poch ndiye kocha sahihi kulingana na malengo yao. Wakaona wamfute kazi kocha aliyetoka kuwafikisha fainali ya uefa ambayo hakuna aliyetarajia! Wakaona wamwajiri Mourinho lakini wakijua fika atataka kikosi chake.
Levy alimbipu Jose kwenye dirisha la January kwa kumpa wachezaji wasio chaguo lake. Jose hakujibu akaacha wajijibu wenyewe (kati ya sajili tatu; Bergwijn, Gedson na Lo Celso, ni moja tu inayofanya kazi, ya Lo Celso).
Dirisha lililofuata wakampa wachezaji 7 wapya na sasa Spurs ndiyo timu inayoogopwa zaidi (kimatokeo: achana na habari za beautiful football). No dhahili pia kuwa January ijayo watampa anachotaka yaani beki ya kati inayocheza kuchoto.
Ukijumlisha sajili za mwaka mmoja wa kwanza wa Jose ni wachezaji 10!
Sasa swali kwenu Arsenal mnaotaka Arteta aondoshwe, je timu yenu ina ubavu na utayari wa kumpa kocha mpya kikosi anachotaka? Kama jibu ni hapana basi mjue atakuja kocha mpya, atapewa wachezaji wawili watatu ili mgt ijivue lawama kisha naye hamalizi misimu miwili.
Huo ugonjwa wa poor planning ndiyo pia unaitafuna timu yangu ya zamani. Na yenyewe tangu babu astaafu malengo yake ya msingi ni kukuza zaidi biashara kuliko soka huku wakifanikiwa kuwahadaa mashabiki kwa kujificha kwenye kichaka cha "beautiful attacking football".
Ndiyo hivyo tushamalizana jana na sasa wote tunaongea lugha moja. Mkubwa keshajulikana. Wewe pia tulikukosa nyumbani kwako sasa mechi ijayo usitarajie kukutana na ile defense dhaifu ya Eric Dier na yule dogo Rodon ambaye alicheza kwenye nafasi isiyo yake na bado akina Tammy wakashindwa kufunga.Ndio maana kuna siku nilisema nyie malizaneni mjue nani ni mkubwa kati yenu then mniletee majibu kaka yenu.
Hizi timu buana.