Points saba nyingi mno, to compete you need to keep up withe the best. Wenzako wana points 20 na wapo on fire wewe umekung'utwa three on trot, huna continuity kwenye matokeo chanya unadhani unaweza kumfikia huyo wa kwanza!
Juu ya kwamba nampenda Arteta but he is a LIAR. He is a fvckng liar. Ametudanganya kwamba ozil ameachwa for football reasons wakati anajua kabisa that's a lie.
Points saba nyingi mno, to compete you need to keep up withe the best. Wenzako wana points 20 na wapo on fire wewe umekung'utwa three on trot, huna continuity kwenye matokeo chanya unadhani unaweza kumfikia huyo wa kwanza!
Will jr naona Leo umeamua kutokea🤣🤣🤣 Mzee baba nilikuambia lazima mfungwe na wolves ila J'2 nitawasapoti msiniangushe mkimpiga Tottenham au mkidraw na Liverpool nae akidraw Mimi nakaa kileleni