Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Guys, tuko vibaya. Yaani ninaona kabisa tukiingia bottom three ndani ya mechi mbili, dadeq!

Tangu nianze kuwa shabiki was hii timu we've never dropped this low. Kama vipi Arteta aondoke tu, kwani Poch hayupo, hafai? Hakuna makocha wengine wakuitengeneza timu?
 

Wakati huo kuna watu wanafight lower midtable...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
The Gunners Eeeeeeeeh.Nasikia Tunataka Kumuuza Pepe Eti????

BTW, Hizi Hapa Shirt Kali Za Kijanja, Kwa Ajili Yako.

HIZI Shirt For Only 30,000 Tuuu.






Hiz Chini, Demin Jeans Shirt Kwa 35,000




Pita Hapa Kujiinea Bidhaa Zaidi.

 

Attachments

  • BJBshirst10.jpg
    80.5 KB · Views: 16
EPL INARUDI LINI, NAONA MASHABIKI WA "ASENO" WAMEANZA KUNENEPA [emoji38][emoji38][emoji38]
Jumapili ijayo wanacheza na timu kubwa zaidi pale London. Kwa kifupi tutawapa kipigo kama cha City. Jose is back.
 
Akifukuzwa wala sitoskitika.

Juu ya kwamba nampenda Arteta but he is a LIAR. He is a fvckng liar. Ametudanganya kwamba ozil ameachwa for football reasons wakati anajua kabisa that's a lie.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…