INAUZWA Brands quality cadets, shirts and t-shirts

BJB FC

JF-Expert Member
Aug 25, 2015
1,714
1,714
MAKING YOU MORE COMFORTABLE & CONFIDENT[/SIZE][/B]

MUONEKANO WA KIJANJA NA KITANASHATI ZAIDI.

TUNA BIDHAA ORIGINAL ZA NCHI MBALI MBALI KAMA VILE:
ITALIA : eg TOMS FROD CADETS TROUSERS

BRITISH: eg BURBERY SHIRTS

TURKEY: eg BLACK MEN STAR TROUSERS

USA: eg TIMBERLAND SHOES.

NETHERLANDS: eg SULAGE & SODA CADETS

TUNATUMA MIZIGO MAHALI POPOTE TANZANIA.

KARIBUNI



Habari wana JF.

BJB Fine Clothing (online shop), tunakuletea brands mbalimbali za nguo za kijanja, original kwa bei nafuu.

Brands zilizopo ni pamoja na

Cadets/Jeans : VICOBSS, MASSIMO DUTT,BURBERY, TOMS FROD, SULAGE & SODA, MONCLER n.k

Viatu: HUGO BOSS, CLARKS,GEORGIO ARMANI, CR7, TIMBERLAND.



Tshirts (form 6): BURBERY, MAGIC JAMES, TIMBERLAND, MASSIMO DUTT n.k

Mikanda/Shirts: TIMBERLAND, POLO, LEGANCE, KEVIN COLE, ARROW, LUCKYHARBOUR, GEORGIO ARMANI,BURBERY, POLO
n.k.

Bei kwa cadets inaanzzia 40,000 to 55,000 tzs

T-Shirts/Shirts from 30,000 to 45,000 tzs.

Tupo Dar Es Salaam, pia tunatuma mzigo mikoani kwa uaminifu mkubwa

Calls/Whatsapp: +255 624 366 385
BJBsas21.jpeg
BJBsas05.jpeg
BJBsas06.jpeg
BJBsas08.jpeg
BJBsas28.jpeg
BJBshoez175.jpg
BJBshoez245.jpeg
 
Asante sana wana JF kwa kupokea hizi kazi.

Mzigo bado upo wa kutosha

Wadau wa suruali za vitambaa,kuna tom frod hizi

Bei ni 50,000 tzs


Karibuni sanaaaa

Nafanya delivery Dsm,mikoani tunatuma.View attachment 1440680View attachment 1440681

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizi znatofauti gani na zile za elf
Za Juu 45,za chini 50,000 tzs.

Good Choice Mkuuu

Karibu Sanaaaa

Calls/Whatsapp: +255 738 589 389
View attachment 1441051View attachment 1441052

Sent using Jamii Forums mobile app

25
 
Hawa jamaa wa online bussiness wanatamaa sana ya hela hiyo Jeans ya elfu 50 ina nini kwanini mnapenda super normal profit yani wewe unanunua kwa elfu 20 unauza mara mbili yake stupid
Aaaaaaaaah mkuuuuuuuuuuu!!!!!!Fitna Hizi Maaaaaalim.

Nani huyo anauza jeans za Mxmus Dutit, Burbery, Bellbsigea au Boss kwa 20??

Nipe Direction mkuuuu!!!

Karibuni wadau,top quality jeans
IMG-20200505-WA0058.jpg
BJBs104.jpg
BJBs105.jpg
BJBs%C2%B97.jpg
 
Sijawahi kukutunishia misuri popote pale mimi huwa nawashangaaa hizi bei ambazo huwa mnaweka at the end of the day hampati wateja uza bei ya kawaida tuu na upate faida ya kawaida mwenzio huwa wanashindwa biashara hivi
Mi na wewe tushamalizana maaaalim.
 
Back
Top Bottom