Hahahahahahaha lakini kijasho chembamba kinatutoka maana jamaa wamehamia golini kwetu na kufanya mashambulizi ya nguvu. Yaani hapa naomba dakika zikatike tu maana kuwa mbele nne bila halafu kuja kutoa draw au kupoteza mchezo ni aibu ya hali ya juu. Mzima lakini wewe? Umepotea sana siku hizi.