batmanwafez
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 882
- 1,363
Kugombana kwenye mazoez ni jambo la kawaida sana, mpira ni physical game lazima tu mgusane kwahio sioni cha ajabu.Hawezi kusema ni kweli ila kamskilize Arteta between the line utajua kuna kitu kiliendelea hakuna club itakayosema in public kuwa kulikuwa na ugomvi
Mkuu si unanunua nyingine?nimekucheki nimekupa namba ya mtu wa karibu, tuwasiliane ,muda mwingi sipo online natumia PC, Simu imepotea
Ni kweli kabisa ila behaviour ya huyu kijana hasa ukizingatia ni loan player si ya kuvutia.Kugombana kwenye mazoez ni jambo la kawaida sana, mpira ni physical game lazima tu mgusane kwahio sioni cha ajabu.
Kati ya gem ambazo tutacheza vizuri na kupata matokeo ni pamoja na gem ya leo. Watu kupoa ni kwasababu mechi ya mwisho tulipoteza tena tukiwa tumecheza vibaya ila leo ushindi ni kuanzia 2+The Gunners wenzangu tusikimbie jukwaa naona wapinzani wamejaa humu ila yote inatokana na mwenendo wa timu yetu mfano leo matokeo hayafahamiki kama tutashinda tutasare au tutafungwa kabisa yaani tupo tupo tu hatusomeki nashindwa kuchambua kabisa game ya leo
Willock amerudi ndani ya first eleven,Arteta kaona bora Willock arudi hehehehe January we must buy an attack midfielder
Tatizo hana consistency kabisa na hili ndo linaboa, kiwango chake na ukiangalia attacking midfielder wa timu wapinzani tunaogombania top 4 ni kama Mbingu na ArdhiMechi ya mwisho alichangamka
Mkuu si niliskia huu mjadala ushafungwa???Kiukweli still bado tuna mwitaji Ozil kwani nikitizama hatuna mchezaji anayeweza kucheza no 10 zaidi yake.
Ila sijajua anatatizo gani na uongozi wa Arsenal.