Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wajuba wameikimbia nyumba yao.
Dully Jr namuona anachungulia kwa mbali.
 
Vile Willian ananifurahisha hasa nikikumbuka mara ya kwanza anahojiwa akiwa kama mchezaji wa Asenane, eti amekuja kushinda kombe la UEFA akiwa Asenane wakati huohuo wanashiriki ueropa
 
Master nimekuelewa sana.

Unaelewa vizuri soka.

Sio jamaa zangu fulani fulani wanajifanya kuchambua kwa kiingereza ukipitia chambuzi zao zote hukuti la maana
Alafu sijui nani kawaambia wakichambua kwa kiswanglish ndio wataonekana wanajua

Haka katabia kapo sana kule jukwaa la liverpool hasa wakiwa wamefungwa
utapigiwa ngeli ya mataputapu mpaka kichwa kikuume,
 
Namtafuta Arroon mwana Arsenal mtiifu.

Arsenal 3 vs Aston Villa 1
 
Asenane 4 Aston Villa 3
Magoli ya Asenane yamefungwa na
DullyJr
[USER=9087] WillyJr
[USER=236445]Aaron Arsenal

Papaa Gx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…