Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hatutaki kuelewa,kama kufungwa umeshafungwa hata ukisemaje kipigo hakitobadilika kamwe
kwa hiyo sasa ndo unasema kocha ameomba misimu mitatu ya kujiandaa ila mkishinda mnasahau kama kuna jambo kama ilo
Mimi naweza bishana na wewe kwamba hatutakua nje ya 5 ila siyo ubingwa msimu huu. Na ndiyo nilichokua nawaambia waliodhani tuna chansi ya ubingwa
 
Wageni wote, tunawashukuru kwa ushirikiano wenu,
Taarifa iliyotolewą kutoka ktk kikao cha familia ni kuwa, hatutakuwa na tanga la wote kutokana na hali ngumu ya kiuchumi iliyosababishwa na COVID19.
Tutakuwa na tangandugu tu, hivyo haina haja ya kuja ni mikeka, shuka na mito...

Ahsanteni.
 
Tuacheni visingizio ligi ni ngumu mwaka huu ila kwa Arsenal itakuwa ngumu zaidi tangia 1996 Wenger alivyokuja, mambo ya huyu kafungwa nna nani kama timu yetu hayatuhusu that's why tunashiriki EPL wengine wakifungwa inatakiwa sisi tupambane imagine leo tena tupo home tumepigwa vidole vya matako namna hii(sorry for saying this) Arsenal ina struggle namna hii why?juzi tumewasifia kina Gabriel leo je?Arsenal kwa sasa inacheza bora siku liende na msimu uishe no vision no future hatujui tunataka nini?top 4,6 au Europa?hatujielewi
 
Poleni wana arsenal wenzangu.
Timu yetu imecheza hovyo leo.
Timu tuliyoikoa kushuka daraja leo imetuadhiri kabisa nyumbani.

Let's keep on correcting our mistakes.
shot on targe ni 2 dak 90 z0te,mmeishia kukaa na mpira tu kwenye miguu yenu,kitu ambacho hakina maana.
 
Bingwa wa dunia alikula 7,sasa mimi ni nani nikomae fupa lililomshindwa bingwa
 
Timu inamiliki mpira kwa 65% unasema inacheza bora liende?

Mi nilikua nasema tunamhitaji Aouar. Ni namna pekee hiyo possession ingeleta maana.

Saa hii inaonekana haina maana koz hatuwi tishio tukiwa na mpira. Villa wakipata mpira wanampelekea Grealish ambaye anaamua nini kitokee. Sisi tukipata tunampa nani?

Unadhani kwanini Dominick na Hossem wanatafutwa time hii?
 
shot on targe ni 1 dak 90 z0te,mmeishia kukaa na mpira tu kwenye miguu yenu,kitu ambacho hakina maana.
Wewe nae si uligongwa 7,.!This
unakotoa nguvu za kutoa ushauri humu ni wapi na mm niende?
 
Ulichosema ni kweli lkn pamoja na yote arsenal huwa inastrugle sana hasa ikikutana na timu ambazo zinatumia nguvu kwahiyo nadhani coach anatakiwa kuliona hili kwa jicho la ziada mfano gem ya leo sikuona umuhimu wa kumtoa partey na kumuacha elneny, kumtoa lacazette unamuacha saka pia kumwacha willian zote hizo wakati alionyesha kubolonga mapema

Mapendekezo yangu ilikuwa atoke elneny aingie xhaka, atoke willian aingie Pepe na atoke saka aingie ceballos kisha arteta abadili mfumo na kucheza 4 3 3 nadhani hapo tusingepoteza gem kirahisi hivyo lkn yote kwa yote mpira nichezo wa makosa tumekosea tumeadhibiwa
 
Villa ilikua wakipata mpira ni mbele tu au counter na imewalipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…