Sasa hivi wanachuki na Luiz na Torres! Hawa jamaa ni waajabu sana they cannot compete financially leave alone on the pitch. Kuna jamaa tumeweka dau Chelsea watamaliza msimu wakiwa juu ya Fat Arse-Anal.
I was Out...just back crib....This is Amazing.....I dont believe they beat us back at the Emirates........Gunnerz 4 ever....
Newcastle fans wanaondoka uwanjani mbona mapema sana ha aha ha ha.
Hawakutegemea kipigo kama hiki bora wakalale mapema LOL! Bado nyingine 2 ili tumalize siku. Maana kuna uwezekano kabisa mshindi wa msimu huu akapatikana kwa goal difference hivyo tukiwapia 6 au hata 7 basi tutakuwa tumejipa nafasi nzuri kama itatokea kufungana kwa points.