Arsenal (The Gunners) | Special Thread

winning against PSG and Reizipig has made Man United complacent, hovyo kabisa I was surprised why we only scored one goal.
 
Kiukweli kwa timu yetu kubeba league labda itokee tokee tu, kama asemavyo Sheikh Kipozeo


Kubeba League inahitaji team yenye permanent structure na consistence, jambo ambalo kwa team iliyo kwenye 'work in progress' kama Arsenal ni mapema sana kulitarajia.

Hatuzuii fans kudream kwa kuwa dreams zinapush success, let the FANS dream for it is a good dream.
 
Umenena vema mkuu,
 
Kiukweli binafsi nikiri nilishamkatia tamaa Bellerin, hata niliposikia PSG wakimtaka niliona aende tu, kwa nini labda?

Bellerin was a very promising youngster when joined Arsenal, alinifanya nitarajie makubwa sana kwake. Labda hisia hizi pia ziliwakumba fans wengine juu yake. Injuries zilimuandama na kuathiri sana kiwango chake, na nilidhani hawezi rudi kwa ubora wake.

RVP, Wilshere na Ramsey pia walikumbwa na kadhia hii at some point of their career in an Arsenal shirt.

It's fair to say that, Bellerin has now become 'unsung hero' at Arsenal, he does a lot with little praise!!
 
Dogo aliyebaki 1st team ambaye nataka aishie u23 tu ni Nketiah. Labda apewe muda pia ila sina matumaini nae kwa sasa. Akirudi Martinelli nadhani hatachukua muda kuchukua namba yake.
 
The fact that he is given game time it is a matter of time before kila mtu kunotice.
 

Yuko arrested na Rob Holding, anatakiwa akatoe maelezo ilikuwaje Makame akafunga ile hat trick kwa ubutu alio nao?
Zile hat trick ni kwa sababu alikutana na wavimba macho, jana kakutana na wazee wa kazi hii ndo utajua wa eplπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jana mliupiga mwingi sana ..ila Auba ni kama ashaanza kuwa butu vile.
Sidhani kama Auba kawa butu ila ukiangalia stats zetu utaona tunatengeneza nafasi chache sana na mfungaji tunaye mtegemea ni Auba pekee hivyo hata wapinzani haiwapi tabu kumkaba mtu mmoja. Bado timu yetu haina good balance kati ya midfield na attacking.

Enzi za Wenger tushakua na strikers za kawaida sana ambazo ziliweza kufunga magoli mengi si kwa sababu walikuwa strikers wazuri, bali timu ilikuwa inatengeneza nafasi nyingi sn. Yaani mtu ana goli 15 ila kakosa clear chances kama 40 hivi.

Adebayor, Bendtner, Giroud hawa wote walikuwa wa kawaida sana ila waliweza kufunga kutokana na multiple chances. Wangecheza kipindi hiki, wangezidiwa magoli hata na makipa wa timu zingine.

Enzi za Wenger tushacheza na strikers kama Yaya Sanogo, Joel Campbell, Jeremy Alladiere na Chamack na bado tulikuwa tunashinda kutokana na chances nyingi tulozokuwa tukitengeneza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…