computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Leo Arteta kama anataka heshima iendelee kubaki kwake hii mechi asipoteze la sivyo ajiandae kuandikwa vibaya na watu kumsema vibayaGame ngumu sana hii guys, hasa ukichukulia tupo ugenini na record yetu away games ni ovyo kabisa tena vs big six ndio kabisa.
Kupoteza games tatu consecutively itakuwa record mbaya sana kwetu, babu Wenger pamoja na mapungufu yake ilikuwa ngumu sana kupigwa three games on trot.
Hii ni mechi ya lazima kushinda no more excusesLeo Arteta kama anataka heshima iendelee kubaki kwake hii mechi asipoteze la sivyo ajiandae kuandikwa vibaya na watu kumsema vibaya
Fact hii Arsenal sio timu ndogo na tushafungwa mechi 2 za mwisho then tupoteze na hii (tena dhidi ya Manchester United)haitakubalikaHii ni mechi ya lazima kushinda no more excuses
Wewe mwenyewe usiache kuja kutoa pongezi baada ya gemGunners, nawasihi baada ya game msijipige ban ! Ndo kawaida yenu !!! Let's go
Aseno [emoji23][emoji23][emoji23]Line up za leo hizo View attachment 1617278
Shida ni mbele tu nikimuona lacazete anaanza hii gemu basi najua ushindi ni sare
Hata sare hamuambuliiHii gem kwa nnavyoona kikosi tunashinda
#COYG [emoji837][emoji836]
Nitakuquote aft 90mins !!!!Wewe mwenyewe usiache kuja kutoa pongezi baada ya gem
Tukutane baada ya dakika 90
Tatizo lacazette amekua butu sanaPartey na Elneny ni good partnership.
Ila bado Tierney na Bellerin wakitupa mipira Auba na Laca waitumie uzuri.