Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yule anayebanaga pumbu magoli hayaingii leo ana jukumu hilo. Asisahau.
 
Arsenal imefungwa goli 7 pekee na ndio timu iliyofungwa goli chache EPL msimu huu but tuna goal difference 1 Arteta inabidi azungumze na washambuliaji na Arsenal ikifungwa leo Arteta atakalia kiti cha moto sidhani hata Unai kama aliwahi poteza mechi 3 mfululizo wachezaji wajitambue na kuleta ushindi siku ya leo(licha mechi ya leo mhhh hasa hapo Old Trafford)patakuwa pagumu kama panavyokuwaga Anfield
 
kabisa mkuu,beki ipo imara na kama strikers wangekua moto hizi point 3 za bure kabisa, sielewi kivipi wameflop kwa pamoja!!
 
Kaka hii game ya leo bado sijipi matumaini kabisa ya kushinda ila tutashinda kama wachezaji watajitambua na kujua fans wanataka nini ila kwa clear picture ukifocus napata kigugumizi
 
Game ngumu sana hii guys, hasa ukichukulia tupo ugenini na record yetu away games ni ovyo kabisa tena vs big six ndio kabisa.

Kupoteza games tatu consecutively itakuwa record mbaya sana kwetu, babu Wenger pamoja na mapungufu yake ilikuwa ngumu sana kupigwa three games on trot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…