Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Juma nne - kitchen party

Juma tano - send off

Alhamisi - harusi/

Leo ndio sherehe kuu
Ushaona wapi harusi inafungwa Alhamisi wewe? Leo ni sendoff na kawaida huwa ni ya bibi kharusi ..

Ivyo nyie mabibi kharusi leo ni sendoff yenu ..
😄😄😄😄
 
The gunners again

Tunajenga timu, tunajenga nchi.

Leo nataka nimuangalie tena vizur Thomas Lissu partey
 
🤥🤥🤥🤥
 

Attachments

  • 2605133_IMG-20201029-WA0011.jpg
    2605133_IMG-20201029-WA0011.jpg
    40.8 KB · Views: 10
Arsenal kumbe anaweza kukomaa sijui kwann kwenye ligi analeta utoto mayai ivo
 
Bado hatupo tayari.

Bado creativity yetu ni crosses tu ambazo hamna anayeweza kuzitumia.

Mustafi katoka majeruhi kapata namba Saliba hapati.

Hii Dundalk ilitakiwa ifungwe kuanzia 5.
 
Juma nne - kitchen party

Juma tano - send off

Alhamisi - harusi/

Leo ndio sherehe kuu
Huna haibu?
Mtu unacheza Alhamisi, tena na vitimu visivyo julikana nchi zinazo tokea, alafu unataka utunishiane msuli na mangakengwa!?
 
The gunners again

Tunajenga timu, tunajenga nchi.

Leo nataka nimuangalie tena vizur Thomas Lissu partey
Jengeni na choo, maana jirani anawachungulia.
Yani uache usingizi wako kwa kuangalia Futuhi?
 
Back
Top Bottom