RB wanacheza 4 5 1 ila Man U ana wachezaji wa kupenya pale na kumpa lead ya goli 3. Sisi tuliwekewa 5 4 1 na Leicester ikawa ni mtihani.
Tunakutana na Man U siku mbili mbele. Tho mechi za hivi siyo fair kujipa moyo wa kushinda as timu zote hujitoa kwa hali na mali for the glory ila tayari Man kaonyesha anachoweza kukifanya.
Game yetu na Dundalk yaweza tupa picha tumefikia wapi kwenye kutengeneza chansi na kuziconvert kua magoli.