Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama tulimfukuza Ozil sababu ya dini kama wengine (wanavyodai ila wengine wanasema hakabi )tujiandae kwa msiba haiwezekani mechi 4 tumefungwa 3 ni laana zinaanza kutuandama kama Ozil huko kwake anasoma dua na Mungu akapokea that's why mechi 4 tumecheza 3 tumepoteza

Kati ya Ozil na Willock nani anatakiwa aachwe kabisa?mhhh(fact iwepo)

Nikimuwaza Rashford na Cavani Mamamae labda twende Sumbawanga tukasaidie kutafuta mababu wabobezi
Asee Rashid Makame hatowaacha salama ..labda tuwape Mendy maana ndo anamjulia vizuri Rashid, huyu Leno mmh hapo kuna goli za wazi za Rashid
 
Hii ni sign mbaya huko tuendako, kuna muda unahisi wachezaji wanahujumu timu isipate matokeo. Yaani hawajitumi kabisa.

Kuna wakati huwa najiuliza Mzee Arsene' Wenger alikuwa anafanyaje timu kushinda mechi nyingi vile huku tukiwa na Foward akina Bendter, Carlos Vella, kiungo kikiwa na Francis Couqline

Watu wanaruka ruka ila hili swali ndio linapaswa kujibiwa nikitulia nitali address mkuu.
 
Dani alikuwa kama hayupo uwanjani
Screenshot_20201026-055943_Twitter.jpg

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hii ni sign mbaya huko tuendako, kuna muda unahisi wachezaji wanahujumu timu isipate matokeo. Yaani hawajitumi kabisa.

Kuna wakati huwa najiuliza Mzee Arsene' Wenger alikuwa anafanyaje timu kushinda mechi nyingi vile huku tukiwa na Foward akina Bendter, Carlos Vella, kiungo kikiwa na Francis Couqline
Dah, kweli maisha mafupi, leo mnamkumbuka Wenger baada ya WengerOut milioni moja??

Nimeamini unafiki kama ngozi tu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Dah, kweli maisha mafupi, leo mnamkumbuka Wenger baada ya WengerOut milioni moja??

Nimeamini unafiki kama ngozi tu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mzee hiyo kawaida, kuna moments in life huwa tuna miss hasa inapotokea nyakati ngumu, huwa tunakumbuka the best moments we had in past.
 
Timu zilizomfunga Arsenal mpaka sasa ni zile zilizomaliza top 5 Premier League.

What does that tell? In my opinion, Arsenal are not ready to compete for big 4 or to compete with Big 4 teams.

What then? Arsenal wanatakiwa kufanya kila kinachowezekana ili wakusanye points nyingi kutoka kwenye mid na lower table teams ili angalau kupata nafasi ya 5 au 6.

Safari bado ni ndefu msimu huu, labda anaweza kubadilika na akatushangaza.
 
Umeongea fact Mkuu, ni muhimu kushinda mechi zote za timu za chini na za Kati ili kuweza kuingia top 5&6 kwa ajili ya Europa league.

Vinginevyo, tuna safari ndefu ya kujenga timu
 
Timu zilizomfunga Arsenal mpaka sasa ni zile zilizomaliza top 5 Premier League.

What does that tell? In my opinion, Arsenal are not ready to compete for big 4 or to compete with Big 4 teams.

What then? Arsenal wanatakiwa kufanya kila kinachowezekana ili wakusanye points nyingi kutoka kwenye mid na lower table teams ili angalau kupata nafasi ya 5 au 6.

Safari bado ni ndefu msimu huu, labda anaweza kubadilika na akatushangaza.
Mkuu,

Wewe unazungumza nini tena?? Sisi tunaongelea ubingwa hapa wewe unatuambia top 5 sijui top 6
 
Back
Top Bottom