Hawa EVERTON hawajawahi kufungwa baada ya HT kuwa mbele this season....Furthermore waliwapiga Man City kama wamesimama...AW asipokua makini kubadili technique za uchezaji hata dro mbao itakua haitoshi....koz Man U tayari wameshashinda 2-0.....Tutawakamata lini na bado wana game in hand???????????
...Hosni Mubarak kagoma kujiuzulu, Man U wanaongoza kwa goli mbili, Chelsea wamepata goli la tatu, Everton ndio hivyo tena, dirisha dogo lishafungwa,...mnh! sijui nichukue likizo? frustrations tupu...