Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal iache siasa.

IMG_20201024_100222.jpg
 
Kwanini?

Hili swala la Nigeria ndugu Lina ushahidi wa kinachotokea , Kumbuka lile la China Alilosema Ozil, hakuna ushahidi hadi Leo kama ni kweli , ndio maana Wachina Walisema OZIL anawachafua ..

Halafu hapo arsenal hawa criticize serikali

Wao wamebase kwenye fan base yao

Issue ya ozil ile comment ili criticize serikali ya china ndipo tabau ikaanzia hapo..Wakadai anawachafua bila ushahidi
 
Ni kweli amepunguza sana makosa ukilinganisha na hapo nyuma, na kwa kuitazama timu ikicheza hivi karibuni mtazamo wangu juu ya hilo ni huu;

1. Tactically tangu aje Arteta kumekuwa na transition kwenye namna ya kudefend, kutoka kwenye man to man marking (enzi ya Unai) na kuwa na defensive unit (chini ya Arteta).

Under 'defensive unit style' simply one player (not necessarily a defender) does defensive role for the team and the team does it for a defender. Kwa hyo ni sahihi pia kusema Luiz anafichiwa makosa si tu na Gabriel bali na mfumo mzima.

2. Ukiwa unatumia defensive style ya namna hii unahitaji last central defender mwenye kuelewa game vizuri sana from the mid ground anayeweza kupredict nature ya attack na hivyo kuwa panga defenders wake vema.

Mabeki kama Luiz, Pique, Rio Frednand, Martesecker nk ukiwatazama ni kama sio defenders wazuri sana tactically ila ni wazuri sana kwenye kuorganize defense na kusaidia kupandisha mashambulizi kwa ama kupiga mipira mirefu au kuelekeza defenders wengine pa kupeleka mpira.

Ukiwatazama vizuri wakati wa game huwa wako kama kocha aliye uwanjani, muda mwingi huelekeza wenzao nini cha kufanya na namna ya kujiposition.

Madefender wa aina hii huwa wana nafasi nzuri ya kuwa makocha baadae kutokana na understanding yao ya game.Sorry sikuwa online for a while dully Jr
Asante mkuu kwa ufafanuzi wako mzuri.
 
Nyie ni wasalit tu, kwan China imekuja kuwashika msimweke ozili uwanjan

China ni kitu gan sasa, nyie ilitakiwa mpige mpira, na ozili ndan, kama hawatafautalia basi ni wao

Sasa mnajikuta hamtaki kupoteza pesa, mnaweka mbele hela kulikoo ubinadamu

Nyie hata uefa mtaisikia kwenye bomba

Mzimu wa ozil utawafuata tu,

Europe mnatolewa soon tu

Na kushuka daraja mkacheze championship

Ni kweli amepunguza sana makosa ukilinganisha na hapo nyuma, na kwa kuitazama timu ikicheza hivi karibuni mtazamo wangu juu ya hilo ni huu;

1. Tactically tangu aje Arteta kumekuwa na transition kwenye namna ya kudefend, kutoka kwenye man to man marking (enzi ya Unai) na kuwa na defensive unit (chini ya Arteta).

Under 'defensive unit style' simply one player (not necessarily a defender) does defensive role for the team and the team does it for a defender. Kwa hyo ni sahihi pia kusema Luiz anafichiwa makosa si tu na Gabriel bali na mfumo mzima.

2. Ukiwa unatumia defensive style ya namna hii unahitaji last central defender mwenye kuelewa game vizuri sana from the mid ground anayeweza kupredict nature ya attack na hivyo kuwa panga defenders wake vema.

Mabeki kama Luiz, Pique, Rio Frednand, Martesecker nk ukiwatazama ni kama sio defenders wazuri sana tactically ila ni wazuri sana kwenye kuorganize defense na kusaidia kupandisha mashambulizi kwa ama kupiga mipira mirefu au kuelekeza defenders wengine pa kupeleka mpira.

Ukiwatazama vizuri wakati wa game huwa wako kama kocha aliye uwanjani, muda mwingi huelekeza wenzao nini cha kufanya na namna ya kujiposition.

Madefender wa aina hii huwa wana nafasi nzuri ya kuwa makocha baadae kutokana na understanding yao ya game.Sorry sikuwa online for a while dully Jr
Mkuu unahisi hii defensive system ni bora zaidi ya man to man marking?
Kumbuka unai emery alishawahi kwenda 22 games unbeaten!
 
Safi sanaaaaaaaaaaa, umeeleweka vema mkuu,
 
Kila nikikumbuka mechi ya Westham tulivyoshinda 2-1 watu wakawa wanatukana sababu ya kiwango kibovu na nikitazama matokeo ya Westham mechi zilizofuata baada ya kufungwa na Arsenal nabaki kucheka tu.
 
Katoa draw na man city leo, lakini watu walivyoiponda timu yetu mpaka nikabaki nashangaa tu!.. Kiukweli mimi namkubali Arteta sana. Hata tukifungwa mimi nitaendelea kumkubali tu
 
Mkuu unahisi hii defensive system ni bora zaidi ya man to man marking?
Kumbuka unai emery alishawahi kwenda 22 games unbeaten!
Kwa mimi naona ni bora zaidi kwa sababu hizi;

1. Kwenye hii system team inakuwa inadhibiti zaidi space na si mtu mmoja mmoja ambayo kosa la mtu mmoja linaweza kuiadhibu timu toka mbali sana, mfano kwenye midfield au hata kosa likifanywa kwenye final third ya mpinzani.

2. Inapunguza fouls nyingi, inaepusha kadi kwa players wetu na pia inapunguza risk ya injury kwa players wetu.

3. Ni rahisi kuziba gap la player asiyekuwepo kwa sabab yoyote ile kwa kuwa mchango wa mtu mmoja kwenye team work ni mdogo ukilinganisha na kwenye individual game approach.

4. Unaweza kupata matokeo kwa mfumo huu kutokana na collective peformance hata kama players wengi watacheza chini ya viwango vyao.

Kwa issue ya Unai kwenda 22 games unbeaten ni kweli ilitokea katika mfumo ule, lakini after time players watapata uchovu, injuries, kadi na kuanza kuflop pia.

Lakini pia ukikutana na timu zinazo cheza mifumo ya kina Liver na City lazima uumie. Ndio maana Emery alikiri wazi kuwa hapendi kupambana na hizi timu na alikuwa anachakaa kweli kweli kuliko hata timu ndogo.
 
Kila nikikumbuka mechi ya Westham tulivyoshinda 2-1 watu wakawa wanatukana sababu ya kiwango kibovu na nikitazama matokeo ya Westham mechi zilizofuata baada ya kufungwa na Arsenal nabaki kucheka tu.
emoji3.png
Watu wanawachukulia poa sana West Ham kumbe wako vizuri.
Nilikomenti humu siku ile kuwa kuna hizi mid-table team kama Westham, Everton, Wolves, Palace na Leicester ukikutana nao performance sio muhimu sana kwa kuwa ni team stubborn sana. Chukua matokeo nenda zako.
Everton naona kama msimu huu wameamua kuachana na mambo ya kuwa mid-table. Wanataka ubingwa kabisa hawa.
 
Kwanini?

Hili swala la Nigeria ndugu Lina ushahidi wa kinachotokea , Kumbuka lile la China Alilosema Ozil, hakuna ushahidi hadi Leo kama ni kweli , ndio maana Wachina Walisema OZIL anawachafua ..

Halafu hapo arsenal hawa criticize serikali

Wao wamebase kwenye fan base yao

Issue ya ozil ile comment ili criticize serikali ya china ndipo tabau ikaanzia hapo..Wakadai anawachafua bila ushahidi
China ndo wanao 7babish ozil atolew kwny team
 
Everton naona kama msimu huu wameamua kuachana na mambo ya kuwa mid-table. Wanataka ubingwa kabisa hawa.
Dah hawa Everton tusipokaa vizuri hawa ni balaa.

Wana kocha mzoefu na mtaalam na pia kikosi chao kizuri sana. Me huwa naiogopa sana timu yenye uwezo wa kupiga hizi timu ndogo pale EPL kuanzia goli 3 na kuendelea, hiyo si timu ya kubeza hata kidogo.
 
Back
Top Bottom