Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

LENO ANAJIFUNZA KITU KIPYA

Hatujacheza high line mechi nyingi hivo tukicheza tegemea leno kuwa vile nilichopenda haogopi anacourage ataimprove,

Cha ajabu kuna mashabiki kukosea Jana tayari wameanza kusema kwann Arteta alimuuza Martinez ,

Kwa Mara a kwanza Jana Leno alikuwa anasogea juu kabisa , ni aina mpya ya mpira Tuliocheza Jana....

Leno atabaki kipa anayeaminika chini ya Arteta ....
Kaka hii kitu usikitetee ni hatari sana kwa mechi za ushindani kwa Leno alichokifanya kama jana
 
Hakuna kipa ambaye hakosei ,yule ni binadamu,

Ametuokoa Mara ngapi. .....
Tatizo sio kutuokoa,Leno ni world class goalkeeper,no one is against him kwa hilo,shida ni kucheza mpira kwa style kama ya Jana na ameanza kupoteza focus sababu goalkeeper namba 2 hajulikani kiwango chake kikoje Arsenal board ni lazima isajili kipa mwenye kiwango kizuri for example kwa sasa Leno hata akitoa maboko mia fans wa Arsenal tutasema mwache Leno maana ndo mwenye afadhali nafasi yake inahitaji competitor goalkeeper
 
Naona watu hawaelewi ndio maana wanamshambulia Leno. Yale ni mapungufu ya formation zaidi ambayo yanampa kipa majukumu ambayo kiasili sio yake.

Kwa ile high line ya jana maana yake timu inajaribu ku create one extra outfield player ili kuipush timu mbele zaidi na kufanya high pressing game.

Unapofanya hivyo automatically kipa atacheza sometimes kama defender, kuna defender atacheza kama midfielder na kuna midfielder ataongeza idadi ya strikers kule mbele.

Katika mazingira hayo kuna risk ya kipa kufanya errors kwa kuwa anacheza kama outfield player, ni sawa na uchukue mchezaji yoyote yule adake golini, tarajia boko muda wowote.
 
Tatizo sio kutuokoa,Leno ni world class goalkeeper,no one is against him kwa hilo,shida ni kucheza mpira kwa style kama ya Jana na ameanza kupoteza focus sababu goalkeeper namba 2 hajulikani kiwango chake kikoje Arsenal board ni lazima isajili kipa mwenye kiwango kizuri for example kwa sasa Leno hata akitoa maboko mia fans wa Arsenal tutasema mwache Leno maana ndo mwenye afadhali nafasi yake inahitaji competitor goalkeeper
My brother computerarsenal,

Sometimes hata wewe ukiwa kazini kwako au hata home unaweza kufanya kitu pasipo ya wewe kukusudia,

Kwanini ufanye kitu pasipo kukusudia?

Unafanya kitu pasipo kusudia kwasababu wewe ni binadamu na sio machine(No one is perfect),

Same applied to Leno Jana ,wakati akitaka kufanya 'build up' bahati mbaya akatoa boko,

What I wanted to hear from you ilikua ni kutoa suggestions kua ni jinsi gani Leno asirudie hayo makosa na sio ku criticize,

We move together.
 
Kama umeangalia mechi za Arsenal za karibuni utaona namaanisha nini hasa kwenye kubuild up kwa Leno,sio kila goalkeeper ana uwezo huo,Martinez alikuwa na uwezo huo(licha ndo ameshaondoka),solution ni kuwa awe makini na afocus wakati anafanya hvyo sababu ndo Maestro (Arteta)anataka hvyo ila Leno na Cech hawa hawana utofauti na muda wote roho juu juu wakiwa na mpira ila for my opinion ni heri awe anapiga pembeni kwa beki zake

Kila binadamu ana mapungufu hata sisi pia hakuna aliyekamilika ni kama Leno ambavyo hajakamilika kwenye eneo hilo la kubuild up but kwa kuchomoa michomo hatari ni balaa
 
Dk Erkut Sogut (wakala wa Mesut Özil) Ametoa shutuma Akimu attack hasa Arteta kuhusu Ozil...

Kupitia mahojihano aliyofaanya na James Olley , ni Kama Wanamuattack Arteta , Hivi Kwanini Wasiondoke mbona wanaleta Mpasuko ?

Anasema...kuhusu Arteta akiwa mchezaji wa Arsenal

"Alianza michezo sifuri kwenye Ligi ya EPL katika msimu wake wa mwisho. "Hakuwepo katika miezi sita iliyopita, alikuwa akihusika kufanya kazi zake za kufundisha na kukutana na makocha kwa maisha yake ya baadaye."

Kuhusu Ozil kuwekwa benchi mwezi Juni

"Kwa nini unaweza kumuweka mchezaji kwenye benchi mara mbili kwa dakika 90 [mnamo Juni] ikiwa hakuwa sawa au alijituma? Ikiwa sio maswala ya mpira wa miguu? Ukiongea, unapaswa kusema ukweli, vinginevyo usiongee kabisa. "

Kuhusu Sakata la China.....

"[Hali ya Uighir] ilileta shida kwa Ligi Kuu yote, sio Arsenal tu. Alitarajia kupata msaada zaidi kutoka kwa Arsenal... Arsenal ikasema Haizungumzii siasa, ile ni haki za binadamu. Fikiria mchezaji anasema 'hii haina ubinadamu'. Hiyo ni siasa au uelewa? ”

Kuhusu Mashabiki wa Arsenal

"Mashabiki wa Arsenal wanastahili maelezo ya kweli, sio [Arteta] anasema, 'Nimemshindwa Özil'. Haukumshindwa Ozil, umeshindwa kuwa mwadilifu, mkweli na muwazi & kumtendea mtu kwa heshima ambaye ana mkataba na alikuwa mwaminifu wakati wote. "

"Kila mtu nje anajua kuwa hakumtendea haki. Hakumpa nafasi ya kuonyesha msimu huu. Ikiwa bado yuko chini ya mkataba, mchezaji anapaswa kuwa na chaguo la kukaa & kupigania nafasi yake. Mesut hajapewa hiyo. "

"Kila mtu anasema anafanya mazoezi vizuri. Per Mertesacker alisema hivi hadharani. Nilizungumza na wachezaji wenzake angalau watano ambao wanasema anafanya mazoezi vizuri. Wanasema Mesut ni mmoja wa wachezaji wao bora na hawawezi kuelewa ni kwanini ameachwa. Kwa hivyo haiwezi kuwa mafunzo. "

"Angeweza kuondoka kwenda kwa klabu nyingine kama Alexis Sanchez [ambaye aliondoka Arsenal na kujiunga na Manchester United mnamo 2018]

Angeweza kuondoka na kupata ada ya kusaini ya pauni milioni 30 [mahali pengine ] kama mchezaji huru katika kilele cha mkataba wake - lakini alibaki mwaminifu. “Labda klabu itabadilisha msimamo wao mnamo Januari na kumsajili. Huwezi kujua nini kitatokea. ”
 
You wouldn’t believe me if I told you that we won yesterday. Mr. Sogut stealing all the headlines by dissing Arteta today. This will continue until his contract ends or he moves in January. The focus should be the season, not Özil.
 
My brother computerarsenal,

Sometimes hata wewe ukiwa kazini kwako au hata home unaweza kufanya kitu pasipo ya wewe kukusudia,

Kwanini ufanye kitu pasipo kukusudia?

Unafanya kitu pasipo kusudia kwasababu wewe ni binadamu na sio machine(No one is perfect),

Same applied to Leno Jana ,wakati akitaka kufanya 'build up' bahati mbaya akatoa boko,

What I wanted to hear from you ilikua ni kutoa suggestions kua ni jinsi gani Leno asirudie hayo makosa na sio ku criticize,

We move together.
Umejibu kwa busara ya kiwango cha SGR, hongera mkuu,
Majibu haya unayapata humu tu ingekuwa kule kwa wazee wa3 tatu ungesikia "acha uchocco boya wew" hahahahahaha

Coyg
 
Dr Erkut Sogut:

“Mesut cannot speak now because of confidentiality, but one day he will, and we'll see what people think.” [espn] #afc
 
Arteta reveals he was impressed with Partey for following reasons:

-'Looked really confident
-Grabbed the game in the most difficult period
-Took responsibility
-Really comfortable on the ball
-Lot of right decisions
-Really strong in the challenges in every transition moment'
IMG_20201023_072048_197.jpg
 
Willian na ceballos watakosekana kuna asilimia kubwa

Mid 3

Saka Xhaka Partey au

Saka Neny Partey

But Xhaka ataanza ,ngumu kwa Arteta ,Xhaka asicheze mech 2 mfululizo
 
Back
Top Bottom