Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu huyo Aouar wa nini ? 4-4-2 ndio kocha kaanza kuitumia Leo,

Elneny chin , Partey juu na nafasi katengeneza ,kazi kapiga

Partey ni muhimu kuliko Aouar

Thomas Partey’s full debut

102 Touches
90% Pass Completion
100% Tackle Success
100% Dribble success
4 Aerial Duels won
1 Clearance
1 Interception
1 Key Pass

Most tackles won
Most aerial duels won

Fantastic debut.
Kwanza unaanzaje kumzungumzia mchezaji ambaye sio wetu? Mimi nilishukuru huyo jamaa kutokuja arsenal, mchezaji wa kifaransa anayecheza league one ni wa kuogopa kama ukoma, kamari yake ni ya SGR,
Huyu Lacazette hajawahi kuwa ktk kiwango chake tulichokitegemea anacho toka tumsajili,yupo kama Danny Sserunkuma tu alivyokuja simba,

Giroud, chamakh, the same stories ,
Pepe and Saliba wana mtihani mpaka muda huu hatujui kama tumetia sukari ziwa victoria ama nini?

Linapokuja suala la usajili ni bora kusajili mchezaji anayeng'aa championship au san marino kuliko farmer league especially their home grown players ni

Mifano ni mingi chelsea wanalia na Bakayoko, Manchester city wanalia na mendy, united wanalia na bishoo martial, yule ferlan mendy kule madrid bado anasugua bench kwa kibabu marcelo, na sisi chupuchupu tupigwe kwa Thomas Lemar 90m,sasa hivi tungekuwa tunajisonyasonya kama tunaita paka,

Mara mia ya Emmi Bueńdia, Toddy Cantwelly, Brooks, Benrahma, kuliko huyo aour walikuwa wanataka kutupiga na edu na Arteta wamestukia michezo, Arsenal hii sio ya kupigwa,
Tule mtori, nyama tutazikuta tu
 
Mm nakereka sana , watu wana criticise timu ili Partey ionekane usajiri wa ovyo haukuwa na umuhimu ....

Mm nasema twende kwa Dominic Szoboslai , kuliko Aouar

Hata Takwimu hapo hapo Ligue 1 , Aouar hazimbebi , binafsi simuhitaji

Twende na Dominic Szoboslai wa RB Salzburg , Linapiga magoli ya kila Aina , limekamirika sana , linauzwa £25m
 
OZIL JANA ALICHAFUKWA TWITTER , ALIKUWA ANARIPOTI MATCH MWANZO MWISHO ......

Amekuwa shabiki

Arteta on Ozil's tweets:

"This is what I want from all the players who are not in our squad. I didn't expect anything different from that so it's good to hear."
 
Introducing your MOTM tonight...

@ThomasPartey22

#UEL https://t.co/u1zNLkaevk
IMG_20201023_070653.jpg
 
Owen Hargreaves:

“Thomas Partey had one of the best debuts I’ve ever seen. This guy makes it look so easy. Everybody is looking to him. He runs the whole game, you can tell he’s been playing in the Champions League - it’s too easy for him.” [BT]
 
LENO ANAJIFUNZA KITU KIPYA

Hatujacheza high line mechi nyingi hivo tukicheza tegemea leno kuwa vile nilichopenda haogopi anacourage ataimprove,

Cha ajabu kuna mashabiki kukosea Jana tayari wameanza kusema kwann Arteta alimuuza Martinez ,

Kwa Mara a kwanza Jana Leno alikuwa anasogea juu kabisa , ni aina mpya ya mpira Tuliocheza Jana....

Leno atabaki kipa anayeaminika chini ya Arteta ....
 
Kroenke kupitia kampuni yake Ameingia ubia na Arsenal ,

Kupitia kampuni yake hii , ataweka Mzigo
IMG-20201023-WA0001.jpg
 
Mimi ni mchambuzi konkifaya natoka huku kinyamzumbwi nasema hivi, huu ni usajili wa hovyo sana,
Jana watoto bado kidogo wange kulambisheni lolo.

Kipa Leno ni chupi ya mtumba, tunaomba mutuwekee kwenye game na sisi.
 
Back
Top Bottom