Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,080
- 12,319
Pale kakutana na viungo dhaifu.Owen Hargreaves:
"Thomas Partey had one of the best debuts I've ever seen."
Haimaanishi kua hajui, anajua, lkn ni wakawada tu, huwezi mlinganisha na mtu kama Fred.
Pale kakutana na viungo dhaifu.Owen Hargreaves:
"Thomas Partey had one of the best debuts I've ever seen."
Acha kufananisha partey na hayo mavi mkuuPale kakutana na viungo dhaifu.
Haimaanishi kua hajui, anajua, lkn ni wakawada tu, huwezi mlinganisha na mtu kama Fred.
Sion hata sababu ya kukujibu ,huyo Fred wakati tunawapiga 2-0 , Kocha akiwa Areta si mlimpanga ....Pale kakutana na viungo dhaifu.
Haimaanishi kua hajui, anajua, lkn ni wakawada tu, huwezi mlinganisha na mtu kama Fred.
Anatafuta kujibiwa huyo, anatufananishia Partey na utopoloAcha kufananisha partey na hayo mavi mkuu
Mimi nahisi ni chuki binafsi tu, nahisi naweza kuiunganisha na kitu japo siwezi sema hapa. Msimu wa kusajili ukiisha, unafanya kazi na wale ulionao, unaachana na speculation zilizokuwepo.Mm nakereka sana , watu wana criticise timu ili Partey ionekane usajiri wa ovyo haukuwa na umuhimu ....
Mm nasema twende kwa Dominic Szoboslai , kuliko Aouar
Hata Takwimu hapo hapo Ligue 1 , Aouar hazimbebi , binafsi simuhitaji
Twende na Dominic Szoboslai wa RB Salzburg , Linapiga magoli ya kila Aina , limekamirika sana , linauzwa £25m
Na ndio mpira kocha anataka uanzie kwa kipa , sema awe makini kwenye pass accuracyTatizo la Leno ana masihara anapoanzisha mipira, even when the opponent players are congested in his area, bado anapenda kuanza mipira na mabeki katika maeneo hatarishi
Lakini killer pass ya Elneny ilikuwa



Kuna baadhi ya mashabiki wenzetu ni tatizo kubwa sana,Yaani hata hawaelewi 'human errors' katika football sometimes are unavoidable.LENO ANAJIFUNZA KITU KIPYA
Hatujacheza high line mechi nyingi hivo tukicheza tegemea leno kuwa vile nilichopenda haogopi anacourage ataimprove,
Cha ajabu kuna mashabiki kukosea Jana tayari wameanza kusema kwann Arteta alimuuza Martinez ,
Kwa Mara a kwanza Jana Leno alikuwa anasogea juu kabisa , ni aina mpya ya mpira Tuliocheza Jana....
Leno atabaki kipa anayeaminika chini ya Arteta ....
Hilo nalo ni tatizo kwakweliKuna baadhi ya mashabiki wenzetu ni tatizo kubwa sana,Yaani hata hawaelewi 'human errors' katika football sometimes are unavoidable.
Aaron una bruised banana kit nilikuwa naitajiAnother picView attachment 1609440
Acha kufananisha partey na hayo mavi mkuu
Sion hata sababu ya kukujibu ,huyo Fred wakati tunawapiga 2-0 , Kocha akiwa Areta si mlimpanga ....