Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Fata moyo wako au dhamira yako inachokuambiaNdugu zangu, hapa napambana na mashetani ya nafsi. Najishauri nisiangalie game ya Arsenal hadi mkataba wa Ozil utakapoisha. Mpira ni mzuri ila ni burudani tu. Haki na utu ni muhimu zaidi. Changamoto hii kwangu.
Auba keshasaini mkataba kahakikishiwa mpunga mrefu acha ale pesa umri ushaenda Arse8 ndo china ya epl kwa sasa.Kwahiyo tufanyeje? Auba amepiga mashuti 6 tu tangu msimu umeanza. Salah kapiga 25, Calvert Lewin 20 na Kane kapiga 19.
Auba asaidiweje?
Na kweli maana hana assisst anazidiwa hadi na KepaAuba keshasaini mkataba kahakikishiwa mpunga mrefu acha ale pesa umri ushaenda Arse8 ndo china ya epl kwa sasa.
#CFC 💙💙💙
Eh, kipofu kaona mwezi tena?
Aya na wewe uone mwezi siku ya Alhamisi.
Tangu lini sikio likazid kichwa ukubwa?Ndugu zangu, hapa napambana na mashetani ya nafsi. Najishauri nisiangalie game ya Arsenal hadi mkataba wa Ozil utakapoisha. Mpira ni mzuri ila ni burudani tu. Haki na utu ni muhimu zaidi. Changamoto hii kwangu.
Rafiki yangu Kitoabu napenda kukukumbusha tu kua una miaka miwili Kwenye league hujawahi kushinda dhidi yangu,Baada ya mechi hizo mbili, (Leicester na Man united) natabili, kitumbua cha Arteta kita ingia mchanga.
Anae bisha ayatunze maneno yangu.
Yaani yale ya wiki iliyopita ushayasahauIla ukae ukikijua kua tushawahi kukufanyia mafuriko ya magoli.
Kwani leo munacheza nani kule futuhi cap.
hata mimi namshangaa huyu mzeeKwenye hii game nahisi arteta angempa nafasi bwana mdogo runnarson nae aonyeshe uwezo wake,
Anyway,all the best gooners.