Timu ipo vizuri kabisa, sema kuna watu hapa hawaoni hilo, Liver katoka kupigwa bao za kutosha lakini huwezi kusema liverpool ni timu dhaifu.. Tuendelee kuipenda na kuishabikia timu yetuSina cha kuongeza, hakika tupo kwenye right way.... Yajayo yanafurahisha
Kwa uwezo wa Martinez isingekua fair abaki Arsenal ili awe kipa namba mbili.
S'ton unawachukuliaje mkuu.? Wako vizuri subir mkutanishwe..Mbona wewe umesuluhu na S'ton na hatusemi, tena nyumbani.
S'ton unawachukuliaje mkuu.? Wako vizuri subir mkutanishwe..Mbona wewe umesuluhu na S'ton na hatusemi, tena nyumbani.
Angalieni wanaume wanacheza UEFA kuanzia kesho ..nyie wamama subirini sendoff Alhamisi.Kinachowaponza ni yule mdhamini. Demand yake ya idadi ya magoli ndiyo imewafikisha hapo.
Nasikia Huawei 5G wanataka kuwadhamini.
Ufala anatakiwa aache baba'koacha ufala.
Wanaume wa kupigwa tatu tatuAngalieni wanaume wanacheza UEFA kuanzia kesho ..nyie wamama subirini sendoff Alhamisi.
#CFC 💙💙💙
Ana future kubwa sana huyu mwamba.....Only jembe aliyebakia na mwenye uchungu na kutubeba kwa this season siku akiumia hata mwezi fans tutaongea lugha tofautiView attachment 1605171
Dogo anacheza mpaka unashangaa why anakimbia na kukaba na kucreate chances hata kufunga mwenyewe?wengine kuonekana ni tatizoAna future kubwa sana huyu mwamba.....
Ana future kubwa sana huyu mwamba.....
Dogo anacheza mpaka unashangaa why anakimbia na kukaba na kucreate chances hata kufunga mwenyewe?wengine kuonekana ni tatizo
Acha tu inashangaza may be next game atascore may beNa hapo ndio najiuliza swali, Aubameyang was doing fine before his new contract, but after securing a much better contract, we do not see the value of the money he receives
Baada ya kufungwa tatu na liva kwenye ligi kwenye carabao tukawaendea na 4 2 3 1 nafikiri tuna wachezaji sahihi kwa formation hii kuliko hata 4 3 3.Naanza kuiwazia combination hii katika 4-3-3
Saka Xhaka Partey
Kwa maelezo ya Arteta siku si nyingi ana shift formation
Kuna page iliandika kwamba: Auba hajascore game 3 na tayari watu wanasema yupo katika ukame wa kuscore. Hiyo inatokana na standards alizojiwekea kwamba kwake scoring au assisst is a must.Na hapo ndio najiuliza swali, Aubameyang was doing fine before his new contract, but after securing a much better contract, we do not see the value for the money he receives
Smith bado Sana,may be awe anapewa game time za kutosha hususani kwenye carabao na FA ila Yule dogo hafit kabisa kua mchezaji tegemezi.Katika ligi kuu 5 za Ulaya Arsenal inashika nafasi ya 92 kati ya timu zinazopiga mashuti.
Hii inamaanisha hakuna wa kupeleka mipira mbele. Smith Rowe agewe namba 10?