Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Mda ulikuwepo na wachezaji wapo sema mzee anapenda ku-gamble sana na mara nyingi ina tu-cost.No one is available. Wenger sidhani kama atanunua mchezaji kwa masaa yaliyobaki, umeona Chelsick wanajaribu kumnunua mchezaki kutoka loser fools? A second loser from them.
Mda ulikuwepo na wachezaji wapo sema mzee anapenda ku-gamble sana na mara nyingi ina tu-cost.
Mechi nyingi sana zimebaki bila kuwa na depth kwenye kikosi inakuwa ngumu sana ku-challenge vikombe vyote.
On how Squillaci's suspension affects his transfer plans...
Not more, not less, because it's three games. For us it's good because we play three games in a week so it is only one week [that he will be out]. No [I am not likely to sign anyone before the deadline], I leave these headlines to all the other clubs, but at the moment no. I cannot tell you definitely because someone might knock at my door in the morning and says 'I would like to play for you' and he is a good player because I would sign him!
Hongereni watani..naona leo Almanusura watu wazima mshikwe ta*o.:clap2:
...No new CB signing yet? Wacha1, AW jnr, Balantanda, Questt, Kweli, Richard ...hii ni halali kweli?, Tuta survive next 5months na Squillaci, Djourou, Kos, ...wakati tukisubiria TV5? au ndio mzee AW snr 'anasubiri muda' atutolee sungura kwenye kofia kama kawaida yake?
Sol Campbell on his way back to Arsenal!
aaaarrrrghhh!...anyway, bora jini likujualo bana...'alitusaidia' msimu uliopita.
...No new CB signing yet? Wacha1, AW jnr, Balantanda, Questt, Kweli, Richard, Ng'wanza, Baba Mkubwa ...hii ni halali kweli?, Tuta survive next 5months na Squillaci, Djourou, Kos, ...wakati tukisubiria TV5? au ndio mzee AW snr 'anasubiri muda' atutolee "sungura" kwenye kofia kama kawaida yake?
Chelsea get Torres, Liverpool get Carroll, while Arse -Anal try to resign... Sol Campbell
Chelsick get Torres, Liserfools get Carroll, while Arse -Anal try to resign... Sol Campbell
...haya 'mchungaji'...ha ha ha!
jamani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?
siasa kila wakati inaboa jama
Hauko peke yako tuko weengii,ajabu hii posti nimeiona leo labda coz nilijiunga juzijuzi anyway our Arsenal is nowadays improving. Mwaka huu makombe matatu ni lazima yatue pale Emirates stadium.
Hebu just think the way our players are doing these days,mpira wa touch na kuonana ni jadi ya Arsenal lakini ongeza ufundi wa Samir Nasri,uhodari wa Alex Song,El-Captano Fabregas,Johan na weengi wengine.
ukwel ni kwamba TORRES haja kwenda kokote mana chelsea wanapesa ndogo alafu wameshuka daraja na ndo mana jamaa amegoma kwenda wajanja ni The GUNNER ha2tak m2 ila 2nauza wa2 na hapa kama vp ni kutafuta ubingwa 2uu leo kama kawa ARSENAL 3 - EVERITON 0 tena 2po home ushnd kama kawa cunajua tena THE GUNNERS ha2fungw homee...
ukwel ni kwamba TORRES haja kwenda kokote mana chelsea wanapesa ndogo alafu wameshuka daraja na ndo mana jamaa amegoma kwenda wajanja ni The GUNNER ha2tak m2 ila 2nauza wa2 na hapa kama vp ni kutafuta ubingwa 2uu leo kama kawa ARSENAL 3 - EVERITON 0 tena 2po home ushnd kama kawa cunajua tena THE GUNNERS ha2fungw homee...