Hapana kabisa mkuu, napenda kuona FA Cup inakuwa timu nzuri kwenye round za mwisho, lakini hiyo hainifanyi kutotoa opinion zangu napoona kuna utata.
Naam Mkuu ndiyo uzuri wa jamvi hili where we dare to talk openly
Naomba isomeke "kutotoa" badala ya "kutoa", nimeedit tayari unaweza kufanya hivyo kwenye quote. BTW, umeona hongera zangu tayari?
Punguza chuki mkuu, IT'S JUST A GAME.
Yaani ilikuwa ni narrow survival, nilikuwa nimekaa na madogo wa man u na ze bluz sikuwa na hamu hata ya kuchangia hapa!
Si umeona cover aliyokuwa anaizungumzia???? (SONG) ambaye ni mfupi kama tutapata 4wards opponents warefu....HATASAJILI.....hata kwenye Friday night live TOM WATT alilizungumzia sana hili la kusajili a new CB......ANYWAY am HAPPY that we r still in all 4 competition that all the BEST PL teams were suppose to be........
Na bado,ngoja siku ya Barca ndo utajua......lol
Sure..Its just a game....But kuna matokeo ambayo wewe unataka yakupe furaha na inavyokuwa sivyo then huwa unakosa FURAHA...........thats the meaning I had when niliposema "NILICHUKIA"
Song huwa ni mzuri sana CB tatizo ukimueka pale ku-cover pengo lake midfield halizibiki.
Kuna kipindi nilikata tamaa na hii mechi lakini toka Van persie apone na form ya Nasri,nimepata matumaini mapya.
Mungu atuepushe na majeruhi,amin.
Mnaongea sana hapa kha! Was it a dive, was it a penalty? Inategemea unaangalia kwa kutumia jicho gani Ila one thing two cup ties, arsenal kwenye semi dire situations, guess what wanapata penalty dakika za mwisho mwisho...hehe go figure!
Hongereni kwa kuadvance watani.
Hongereni watani..naona leo Almanusura watu wazima mshikwe ta*o.:clap2:
Wenger sasa aende kusajili beki sasa hivi kama yuko serious .