Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Baba wa kiungo mpya wa Arsenal, Thomas Partey;

"Kiukweli nilikuja kugundua kwamba Thomas mwenyewe anataka kwenda timu inayoshiriki Klabu bingwa Ulaya lakini nilimwambia sio mbaya akienda Arsenal ili yeye aisaidie timu hiyo kufuzu kucheza michuano hiyo."

"Kulikuwa na ofa kutoka timu kadhaa ambazo zilimtaka, ikiwemo Chelsea na Juventus. Nafikiri sasa anaweza kuisaidia Arsenal ifuzu kucheza Klabu bingwa Ulaya."
 
Pierre-Emerick Aubameyang is donating one of his shirts bearing the slogan Black Lives Matter to the Museum of London.

The shirt is part of the museum's Collecting COVID project which will document the Black Lives' Matter displays from earlier this year.

https://t.co/q6uM2EJThi
 
Aubameyang:

β€œI am proud to be the latest black player to captain Arsenal and it’s an honour to have the opportunity to donate my Black Lives Matter shirt to the Museum of London’s Collecting COVID project."

https://t.co/2675ghqsim
 
OFFICIAL:

Chris Kavanagh ametangazwa kuwa muamuzi wa kati atakaye simamia Sheria 17 za mpira wa miguu kwenye mechi kati ya Manchester City
Arsenal siku ya jumapili.

Stuart Attwel atakuwa akisaidizana na teknolojia ya V.A.R
 
Huyu wa VAR sijui atakumbuka kumuangalia Pepe? Last season tumenyimwa penati za kutosha baada ya Pepe kupiga chenga mabeki nao wakamtega akaanguka lakini marefa wakapeta. Kama sikosei tumenyimwa penati si chini ya nne. Angepiga mbili Auba angekuwa top scorer na angewaachia mbili Pepe na Laca wangeongeza confidence. Mawazo tu.
 
Watu wengne mapenz yao kwa Xhaka yamezd aseee....Elneny karud kweny ubora...#Respect Elneny
 
Watu wengne mapenz yao kwa Xhaka yamezd aseee....Elneny karud kweny ubora...#Respect Elneny
Mara ya kwanza nasema Elneny kiungo mzuri nilipingwa. Sasa hivi tupo tunaoona ni mzuri tupo tunaoona anatakiwa aongeze juhudi. Ila kuna mmoja kasema huyu jamaa ni kiazi.

Games bado zipo Elneny atamprove wrong tu. Kikubwa asipate majeraha.
 
Congratulations, Gabriel!


@Biel_M04 is your Player of the Month for September - having won more than 72% of the total votes cast
 
Mchezaji Bora wa Epl since 2000s to 2010s ni Thierry Henry
 
Mashabiki wa Arsenal hua hawagive up kwa wachezaji wao na hata ikatokea kuna mchezaji anatakiwa kusajiliwa watahakikisha wanamfuata DM, Inbox au kokote kumshawishi ajiunge na hii familia.

Carzola kaondoka lakini ikatokea tunaambiwa anarudi hata kwa msimu mmoja nusu na robo ya mashabiki watakua na furaha na kurudi kwake. Fabrizio Romano anasema alikua anapokea karibia inbox sms 1000 kutoka kwa mashabiki wa Arsenal katika dili la Gabriel hapo bado comments.

Pamoja na comments za Ozil na kuisababishia klabu hizi rabsha za hapa na pale bado mashabiki wanasema Ozil acheze money be damned. Hapa sizungumzii mashabiki wa JF nazungumzia kwenye Telegram, IG, Twitter n.k. wanajua kinachoendelea yet they will comment on Arsenal's IG page 'Play Ozil' 'Ozil should start' 'Start Ozil'

Mchezaji kama Ozil ambacho kinafanya mashabiki atake aingie uwanjani siyo kwavile anakula ule mshahara il ni uwezo wake. Ana hadhi na all time stats kubwa pengine kuliko AMF yeyote EPL kwa kipindi chake.

China watajificha kwenye idea ya sovereignty na kwamba Ozil ameingilia maswala ya nchi katika hili mimi nitasema tu ni swala la nani anamhitaji mwenzie sana. Arsenal inaihitaji China kuliko China inavyomhitaji Arsenal so obviously Arsenal inabend at China's will.

Ozil hakutakiwa kuishia hivi, jamaa ni moto I hope somewhere along the way we will see the last of him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…