mkoreaBlunder moja isifanye mtu asipangwe tena, kwa maoni yangu Lacca ana uwezo mkubwa wa holdup play kuliko Auba, games za caliber ya city tunataka striker atakayeweza kukaa na mpira.
Katikati nakubali Xhaka apumzishwe, aanze Partey na Elneny, then Ceballos awe more advanced.
Sijaelewa kwa nini umemtag mkorea.
Game na Sheffield alianzia benchi. Kocha alijua wazi kua huyu jamaa inabidi atulize kichwa kwanza. Binafsi nilisapoti kuanzia benchi 2 clear chances kuziharibu kama vile siyo fair.Blunder moja isifanye mtu asipangwe tena, kwa maoni yangu Lacca ana uwezo mkubwa wa holdup play kuliko Auba, games za caliber ya city tunataka striker atakayeweza kukaa na mpira.
Katikati nakubali Xhaka apumzishwe, aanze Partey na Elneny, then Ceballos awe more advanced.
Nilisema Xhaka asianze akasema yeye anacheka tu.Sijaelewa kwa nini umemtag mkorea.
Oh ok!Nilisema Xhaka asianze akasema yeye anacheka tu.
Wew jamaa unamchukulia poa ElnenyElneny n midfielder tukikutana na timu ndogo, ambazo hazina presha kubwa. Elneny unaweza ukasema n young xavi
Game ngumu elneny haziwezi kabisa, mfano wa haraka game na Liverpool elneny kapiga forward pass 1 back pass zaid ya 20
Partey kumuweka na elneny n kutafuta matusi kwa liver7 na wadogo zetu Chelsea
Xhaka muweke na partey ninauhakika kiungo kutakua sold sana,
Cebalos muweke mbele yao. Then elneny atokee sub
Narudia tena Mohammed Elneny n mchezaj tukikutana na hiz timu ndogo ndogo
Watu kama de brune, Silver, Rodri,
Wanahitaji mtu Mwenye roho mbaya ambae tulikua tunamtegemea xhaka tu, bora sasa ameongezeka huyu partey
Mkiniletea stats zilizoonesha elneny ka perform vzur katika big match.
Mimi nitaletea dawa ya corona, mashabiki waingie uwanjani
Wew jamaa unamchukulia poa Elneny
Elneny amecheza games 2 na liva. Moja tukachukua ngao ya pili tukafungwa 3.Elneny n midfielder tukikutana na timu ndogo, ambazo hazina presha kubwa. Elneny unaweza ukasema n young xavi
Game ngumu elneny haziwezi kabisa, mfano wa haraka game na Liverpool elneny kapiga forward pass 1 back pass zaid ya 20
Partey kumuweka na elneny n kutafuta matusi kwa liver7 na wadogo zetu Chelsea
Xhaka muweke na partey ninauhakika kiungo kutakua sold sana,
Cebalos muweke mbele yao. Then elneny atokee sub
Narudia tena Mohammed Elneny n mchezaj tukikutana na hiz timu ndogo ndogo
Watu kama de brune, Silver, Rodri,
Wanahitaji mtu Mwenye roho mbaya ambae tulikua tunamtegemea xhaka tu, bora sasa ameongezeka huyu partey
Mkiniletea stats zilizoonesha elneny ka perform vzur katika big match.
Mimi nitaletea dawa ya corona, mashabiki waingie uwanjani
Arsenal kusevu a lot of money if Ozil not involved
.@David_Ornstein : Arsenal 'are saving significant sums of money in appearance-related bonuses while Ozil is not involved.'
Ornstein: Ozil loyalty bonus, Romero in limbo, gambling advertising clampdown
Lacca mimi namwelewaga sana!.. Huyu jamaa atatusaidia sana msimu huu maana naona anaimprove japo makosa madogo madogo bado yanatokeaBlunder moja isifanye mtu asipangwe tena, kwa maoni yangu Lacca ana uwezo mkubwa wa holdup play kuliko Auba, games za caliber ya city tunataka striker atakayeweza kukaa na mpira.
Katikati nakubali Xhaka apumzishwe, aanze Partey na Elneny, then Ceballos awe more advanced.
Kwahiyo kwa xhaka hili tunaliona??? Kwa ozil??
Umesahau the way tulivyokuwa tukimuomba abaki??? Sio Sisi mashabiki tuliokuwa mitandaoni tukiiambia bodi wampe ozil salary anayotaka ilimradi tu abaki???
Ni kweli kabisa tulimjua vema na Wenger alijitahidi kubadili mfumo ili kumpa nafasi Ozil lakini kwa sasa kocha sio Wenger tena. Lakini pia kwa mchezaji wa level yake ni rahisi mtu kuamini he can change for the better.Lakini mkuu game mentality hii itabidi unisaidie vizuri.
Mdogo wangu ameoa mzungu. Taratibu zao za maisha ni tofauti sana, mawifi wakianza maneno yao ya chokochoko nawaambia tulieni. Si mlishangilia sana nyinyi siku ile ya harusi hamkujua mtoto wa watu hajazoea kwenda sokoni na kukaa vibarazani jioni kupiga umbea??
Tulipomsajili ozil 2013 tukashangilia sana hizi mambo za kukaba hatukuzijua?? Tulipomuongezea mshahara na mkataba bado tu hatukuzijua hizi mambo??
Issue ni hiyo ya China na kukataa pay cut during Corona.